mbona umewasahau waarabu, wapemba, wahindi? au wao si wafanyabiashara?
mbona umewasahau waarabu, wapemba, wahindi? au wao si wafanyabiashara?
wana influence gani?
Wakuu,
kuna jambo moja hapa, juu ya uwepo wa wachagga katika jiji la dar es salaam.
Inaaminika dhahiri kuwa jiji hili limekuwa sana
na moja ya kukuwa kwa jiji hili ni biashara na mapana yake..
Now days kuna kabila moja linalokuja vizuri sana
kwenye sekta ya biashara hawa Wakinga, kiukweli wameanza kusikika hivi karibuni na ukuaji wa jiji umeongezeka sana..
Is it true that Kinga's wana influence kubwa kibiashara jijini dar zaidi ya wachagga? walioanza biashara zamani zaidi?
are they building big houses overthere? wanaishi wapi hawa watu?
sitakupa analysis yyt mpaka nione hata kabila moja kutoka kanda ya ziwa.
Utasubiri Sana.. Yaani wale wauza mayai wakurya wa Kitunda waje kujenga ghorofa kama MIC hotel au Wanyama hotel au Kingsway hotel ya Morogoro!! Au wanyantuzu wanaonenepesha ng'ombe waje kupiga maghorofa marefu mjini,,, bado Sana
hao walikuwepo tokea
mwanzo, na sidhani kama wana michango ya moja kwa moja, ikumbukwe wao
kazi yao ni kukodisha apartment na kufanya biashara.
tuzungumzie hawa wazawa wanaoshiriki moja kwa moja kwenye kuujenga
mji...