Tunatoa hudumu kwa wale wanaohisi wapenzi wao si waaminifu na wanataka wapate uhakika juu ya hisia zao.
Huduma ni ya siri sana na Phase 1 inachukua wiki moja ambapo unapewa taarifa ya awali na kuonyeshwa vielelezo vyote vilivyopatikana.
NB: Masharti na vigezo vikali kuzingatiwa. Pia be aware the service is expensive.
PM for further details.
ungehisi ungeenda? halafu?Thank God kwamba mi sijaanza kuhisi chochote kibaya, lol!
ungehisi ungeenda? halafu?
Latest Technology for surveillance and investigation!
FP ni vizuri kuujua ukweli, LAKINI saa nyingine kuujua ukweli kunaweza kukusababishia kufanya maamuzi magumu sana ambayo pengine usingeweza kuyafanya kama usingeujua ukweli na mwishowe maamuzi hayo kukugharimu au kukuharibia kabisa mustakabali wa maisha yako ya baadaye. Kuna mfano mmoja wa mama mmoja alijirusha ghorofani kujiua baada ya kuchunguza na kuambiwa kuwa mumewe anatembea na muathirika. Aliishia kupata kilema cha maisha na alipokwenda kupima yeye wala mumewe hawakuwa waathirika.
Acha niujue ukweli, lakini si kwenda kuutafuta mwenyewe kwa nguvu hivyo, kwa lugha rahisi hakuna sababu ya kuchokoza matatizo kama kila kitu kinaenda sawa.
Hiyo najua Joey Greca sijui jina kama nimepatia anaitumia katika show yake ya Cheaters
Kama imefika Tanzania itakuwa mtafutano
Unatumia teknolojia ya asili, analojia au digitali?
Latest Technology for surveillance and investigation!
kwa dozi ninayompa siamini kama atakuwa anahamu ya kucheat!...wale mnaoamini kuwa wenzi wenu hamuwafikishi kunako na mnahisi kuwa mnagongewa afadhali nendeni kwenye hii kitu...itawaondolea hisia....
Ishu ni kumpa kick za nguvu mamsapu hadi anasanda mwenyewe!!hawezi kukucheat!!