GE2025 INEC, Tunawaomba mturuhusu tupige kura ya Rais, sisi wenye kadi za kupigia kura lakini kazi zetu hazituruhusu kutuliza sehemu moja, asante

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Husika na kichwa Cha habari hapo,
Kuna watu wanakadi za kupigia kura lakini kazi zao haziwaruhusu kutulia katika eneo moja, Tunawaomba INEC mturuhusu tupige kura ya Rais kwenye kituo kilicho karibu nasi.
Asanteni sana
 
Chawa umetumia VPN kuwaomba hiyo NEC kwani huna namba zao za simu au ofisi zao huzijui ??

Halafu hiyo kura ya urais mbona ni rahisi tu maana mgombea ni mmoja na hakuna mwingine hata usipopiga buku 7 utatumiwa.
20251023_033515.jpg
 
Tunawaomba Inec mtujibu haraka ili kama tunaanza safari tuanze kuelekea kwenye vituo tulivyojiandikisha
 
Wewe mwalimu kidampa wa mafisadi safari gani mmeanza au mmesombwa kwenye malori mkajazie kura za kundi kubwa lililopuuza upumbavu huu unaoitwa uchaguzi?

Halafu hizi habari kwanini usipost kwenye platform za Lumumba maana humu unaingia na VPN unayemsifia ndio kafunga jukwaa.
 
Tunaenda kutiki kwa mamilioni kwa mamilioni Yani tar. 29 ndo itakuwa mwsho wenu wapiga kelele tunaenda kumpigia KURA Dr SAMIA SULUHU HASSAN KWA KISHINDO
 
Umesajili VPN yako kwa mujibu wa sheria TCRA kabla ya kuingia humu??

Mnaenda kutiki nini ? au mitihani mwalimu?

Hao mamilioni ni kutoka kitabu cha kusadikika au?

Hakuna kishindo chochote mtachokitoa.
 
Umesajili VPN yako kwa mujibu wa sheria TCRA kabla ya kuingia humu??

Hakuna kishindo chochote mtachokitoa .
Mkuu subri j5 siku zinakimbia sana. Sisi Watanzania wazalendo tunaenda kumpigia KURA za kutosha Dr Samia Suluhu Hassan na wabunge na madiwani wote wa CCM
 
Husika na kichwa Cha habari hapo,
Kuna watu wanakadi za kupigia kura lakini kazi zao haziwaruhusu kutulia katika eneo moja, Tunawaomba INEC mturuhusu tupige kura ya Rais kwenye kituo kilicho karibu nasi.
Asanteni sana
Hivi watu wapo serious kabisa utadhani panafanyika uchaguzi.
 
Back
Top Bottom