GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jaji wa Tume kasema anataka amsikilize Polepole. Lakini kakimbilia kukanusha.
Kwa hiyo Pole pole akim convince atabadili mawazo ?

Na unakuaje hauko updated na suala la idara yako ambalo nchi inalijadili ? Asubuhi na mapema angewaagiza vijana wa hapo ofisini wamuonyeshe hizo dakika 10 ambazo Polepole kaongelea miwaya ya CCM.

Hana exposure Jaji mzima masikini ya Mungu, hajui ku handle public inquries and news controversies. Ulaya Rais anakutmua. Yani aabike kwa saab wewe hujui kuna nini kinasemwa mtaani ???

Anyhow, nawasamehe. Walishazoea kutawala katika mazingira tofauti, nch tofauti, siku hizi watu wameamka, wanahabari wameamka amka, wanaibua ma controversies na ukosoaji na kuhoji.
 
Lakini si mhusika ndiye kamwaga mboga?
 
Kukanusha ukweli ni ritual ya Serikali ya CCM. Tumeshuhudia time and again Jeshi la Police, kwa mfano, likikanusha vitendo viovu lilivyovifanya mchana kweupe na kuonekana kwa kila mtu!
 
Ukishajua NIDA na INEC vipo chini ya Mamlaka ipi na huteuliwa na nani huwezishangaa wao kukana
 
Jaji Jacobs Mwambegele na idadi ya wapiga kura zaidi ya 37,000,000 wapo katika daftari na mchanganuo wake ni kama ifuatavyo


View: https://m.youtube.com/watch?v=Fnf9uEZsWuQ
Vituo 97,349 kutumika kupigia kura Tanganyika huku vituo
2,562 vitatumika Zanzibar. Vituo hivi ni ongezeko la zaidi ya asilimia 20 kulinganisha na vilivyokuwepo katika uchaguzi wa 2020 ...

Tarehe 28 Agosti 2025 hadi Oktoba 28 2025 ni kipindi cha kampeni za kuelekea uchaguzi wa 2025 hivyo Tume INEC Kura Yako Haki Yako Jitokeze Kupiga kura ndiyo kauli mbiu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC
 
Ulitegemea wangekubali wakati anayewateuwa ndiyo bosi wa CCM,hii inchi ilishajifia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…