GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nilikuwa nabisha wakenya wakisema watanzania tuna IQ ndogo.

Hili la polepole limefanya niamini kweli watanzania tunashida ya kufkiria.

Mtu kwakuwa aliongea ni mtu anae muamini basi yeye anachukuwa tu km lilivyo nae kuliamini.

Sasa Akili ya kwaida tu ujiulize, access ya NIDA inakusaidia vipi kupata kura kupitia mfumo ?
 
Polepole ana chuki kubwa sana binafsi kwa rais na CCM kwa ujumla
Muongo wewe, ametufungua macho. Huyo mliyemchagua alipaswa kupumzika baada kuhudumu miaka 10. Katiba hairuhusu Rais amstaafu, makamo, waziri mkuu, spika kugombea urais baada ya kuhudumu kwa miaka 10
 
Ulitarajia waungane nae.
 
Kwa akili yako unafikiri wakasema ni kweli tumeunganishwa
 
Inawezekana kabisa mifumo kuunganishwa. Mbona mifumo ya bank ipo linked na ya BOT
 
Hakuna aliyetarajia wakubali...

Ni nani aliyedhania kuwa Afande Jumanne Muliro wakati ule polisi wake wanapiga wananchi mahakamani, wakawaumisha umbwa, wakawapandisha kwenye magari ya polisi, wakawatesa na kuwavunja miguu na mikono na kisha kuwatupa porini angeweza kukana hadharani kuwa waliofanya tendo hilo sio polisi..?

Sasa tunashangaa nini hawa wahuni kukana?

Jibu litapatikana tu iwapo uchunguzi huru utafanyika na huu ndio wito wa Polepole...!!

Na hata sisi wananchi tunaweza kuthibitisha uhuni huu kwa urahisi tu bila hata kuwa mtaalamu wa IT...

Mfano mimI si mwanachama wa CCM, sijawahi kujisajili kuwa mwanachama wao, lakini washenzi hawa huwa wananitumia meseji kwenye simu namba yangu niliyoitumia wakati najiandikisha NIDA...

Hata juzi kati hapa wakati wanachangiwa mafedha walizoita za kampeni za uchaguzi kutoka kwa mafisadi, walimtumia meseji za kawaida karibu kila mtu hata asiye mwanachama wao. Mpaka Tundu Lissu, mnyika, Heche John na wengine walitumiwa. Walitoa wapi namba zao...???

Mara zote huwa najiuliza wahuni na washenzi hawa wamepata wapi namba yangu kiasi cha kunitumia ujinga na upumbavu wao..???

Sasa nimepata jibu. Kumbe mifumo ya chama chao imeunganishwa na NIDA na NEC...!!!!
 
Kama kuna mtu kamuelewa polepole anisaidie kueleweshwa vipi kura zinapatikana kwa kuunganisha hiyo mifumo wakati kura zinapigwa kwa makaratasi.
 
Inawezekana kabisa mifumo kuunganishwa. Mbona mifumo ya bank ipo linked na ya BOT
Assume we ni mtu A, unashindana na mtu B kuhitaji kura za watu 20 ambazo mtapigiwa kwa karatasi, mtu B anavitambulisho vya watu wote 20.

Unaweza nambia nikwanamna gani Vitambulisho vitamsaidia mtu B kukuibia kura ulizopigiwa na miongoni mwa wale watu 20 ?
 
Wataalam tuoondoleeni huu utata.nani mkweli.
kama kula zinapigwa Kwa karatasi majina ya Nida yanapigaje kura.
 
Kama wametoka mapangoni kujibu hoja za polepole ni faida kwetu.
Spana imeingia vizuri Sana kwenye mifupa
 
Chadema hawana akili mzee
 
Walioiunganisha wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…