Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,568
- 1,866
HatudanganyikiKauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo.
Wakuu hao wamebainisha kwamba hakuna mfumo wowote kwenye taasisi zao uliounganishwa na ya chama chochote cha siasa na kwamba jambo hilo si siri, na endapo lingekuwa hivyo lingekuwa tayari limejulikana.
Katika mazungumzo yake aliyoyafanya usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2025, Polepole amedai kwamba mifumo ambayo chama hichoimeijenga, inakiwezesha kupata ushindi hata kabla hawajakwenda kwenye uchaguzi.
INEC yakanusha
Akizungumzia tuhuma zilizoibuliwa na Polepole, Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele amesema hakuna mfumo wowote wa taasisi hiyo uliounganishwa na chama chochote cha siasa, hususani CCM.
“Hakuna. Sisi ni Tume huru na vitu kama mifumo kuunganisha si vitu vya siri, ukienda tu kitaalumu utajua, ni mfumo gani tuliounganisha na mtu mwingine,” amesema mwenyekiti huyo.
Jaji Mwambegele amesisitiza kwamba hata kama wangekuwa wameunganisha, hiyo inawahakikishiaje ushindi, kwani Tume hiyo inafanya kazi kwa mfumo wa dijitali? amehoji katika majibu yake.
“Kwa maana; je, kura zitapigwa kielekroniki? Kwa hiyo, hakuna kitu kama kuunganisha mifumo ya INEC na chama kingine, lakini nataka nimsikilize anavyozungumza huyo Polepole,” amesema Jaji Mwambegele.
Mwenyekiti huyo amesema mifumo yao haijaunganishwa na chama chochote cha siasa na hata Daftari la Kudumu la Wapigakura wameligawa kwa vyama vyote vya siasa, vinginevyo wangeweza kusema waunganishe katika mifumo yao ili waone.
“Lakini, daftari tumeligawa kwa vyama vyote vya siasa tangu Julai 27, 2025 kwa mfumo kidijitali na mfumo wa hardcopy (nakala ngumu),” amesema.
Jaji Mwambegele amesisitiza kwamba msimamo wa INEC, mjadala unaoendelea kuhusu kuunganisha mifumo, si wa kweli na wananchi hawapaswi kuamini hilo.
NIDA nayo yajitenga
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Nida, James Kaji pia amesema hakuna jambo kama hilo la kuunganisha mifumo, huku akisisitiza Polepole aeleze vizuri kama aliwahi kufanya kazi na mamlaka hiyo huko nyuma.
“Hakuna kitu kama hicho. Ni vema akawaelezea vizuri labda yeye anajua na kama ameshafanya kazi Nida,” ameeleza Kaji alipoulizwa na Mwananchi kuhusu tuhuma zilizoibuliwa na Polepole kuhusu kuunganishwa kwa mifumo hiyo.
Chanzo: Mwananchi.
Unaona huo ni mchakato wa kuhitaji ulink na NIDA ili ufanyike ?.Sasa ...nikwamba ...Kuna uhuni unafanyika...
Kuna watu walikwenda kujiandikisha kweli kwenye daftari...na kuna watu hata hawakupata muda wa kujiandikisha...
Kinachofanyika ni wale ambao hawajajiandikisha Kuna sehemu majina yao yapo katika daftari ...kwa kufanya copy and paste kutoka NIDA., na ndio maana Kuna sehemu watu walikuta majina ya marehemu..mtu hayupo Duniani miaka 4 ila jina linasomeka...
Sasa daftari linakuwa na idadi kubwa ya watu..ile mbeleni isaidie kuongeza kura ...yaani Kuna watu watakuwa nyumbani ila watapigishwa kura bila kujijua...na hapo ndio kura feki zinawekwa kwenye mabox ya kuhesabia...
Najua utauliza wakala wanakuwa wapi...Hilo siwezi kukueleza...maana mawakala huwa wanapata Cha mtema Kuni vituoni...hata simu hawaruhusiwi kuwa nazo ili wasirekodi vituko... Nimejitahidi kukupa mwanga
..
Inaelekea hata kura hujawahi kupigaWazo la makaratasi futa kura zinainhizwa kwenye data base, zinahesabiwa electronically
Tanzania ni nchi ngumu kuliko uijuavyo mkuu.Kwa taasisi zenye accountability nilitegemea nione hawa wakuu waseme wana karibisha uchunguzi huru wa wadau ili kuji ridhisha lakini wanatoka tu kama madume ya nyani na kusema kuwa sio kweli
Kwahiyo watu walitarajia wakubali madai ya polepole! Hayo majibu ni lazima yalitarajiwa tu.Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo.
Wakuu hao wamebainisha kwamba hakuna mfumo wowote kwenye taasisi zao uliounganishwa na ya chama chochote cha siasa na kwamba jambo hilo si siri, na endapo lingekuwa hivyo lingekuwa tayari limejulikana.
Katika mazungumzo yake aliyoyafanya usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2025, Polepole amedai kwamba mifumo ambayo chama hichoimeijenga, inakiwezesha kupata ushindi hata kabla hawajakwenda kwenye uchaguzi.
INEC yakanusha
Akizungumzia tuhuma zilizoibuliwa na Polepole, Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele amesema hakuna mfumo wowote wa taasisi hiyo uliounganishwa na chama chochote cha siasa, hususani CCM.
“Hakuna. Sisi ni Tume huru na vitu kama mifumo kuunganisha si vitu vya siri, ukienda tu kitaalumu utajua, ni mfumo gani tuliounganisha na mtu mwingine,” amesema mwenyekiti huyo.
Jaji Mwambegele amesisitiza kwamba hata kama wangekuwa wameunganisha, hiyo inawahakikishiaje ushindi, kwani Tume hiyo inafanya kazi kwa mfumo wa dijitali? amehoji katika majibu yake.
“Kwa maana; je, kura zitapigwa kielekroniki? Kwa hiyo, hakuna kitu kama kuunganisha mifumo ya INEC na chama kingine, lakini nataka nimsikilize anavyozungumza huyo Polepole,” amesema Jaji Mwambegele.
Mwenyekiti huyo amesema mifumo yao haijaunganishwa na chama chochote cha siasa na hata Daftari la Kudumu la Wapigakura wameligawa kwa vyama vyote vya siasa, vinginevyo wangeweza kusema waunganishe katika mifumo yao ili waone.
“Lakini, daftari tumeligawa kwa vyama vyote vya siasa tangu Julai 27, 2025 kwa mfumo kidijitali na mfumo wa hardcopy (nakala ngumu),” amesema.
Jaji Mwambegele amesisitiza kwamba msimamo wa INEC, mjadala unaoendelea kuhusu kuunganisha mifumo, si wa kweli na wananchi hawapaswi kuamini hilo.
NIDA nayo yajitenga
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Nida, James Kaji pia amesema hakuna jambo kama hilo la kuunganisha mifumo, huku akisisitiza Polepole aeleze vizuri kama aliwahi kufanya kazi na mamlaka hiyo huko nyuma.
“Hakuna kitu kama hicho. Ni vema akawaelezea vizuri labda yeye anajua na kama ameshafanya kazi Nida,” ameeleza Kaji alipoulizwa na Mwananchi kuhusu tuhuma zilizoibuliwa na Polepole kuhusu kuunganishwa kwa mifumo hiyo.
Chanzo: Mwananchi.
Hatari sana.Ni aliyetengeneza mfumo ndio amejitokeza kukanusha.
kwa kimombo tunaita guilty consciousness inasumbua Mzee oh sorry kijana kipili nani sijui. Asituchoshe
Rejea maneno ya Polepole: ^mfumo ulikuwa na nia njema, ila ukiwa mikononi mwa watu wabaya ni hatari mno.^Unaona huo ni mchakato wa kuhitaji ulink na NIDA ili ufanyike ?.
Maelezo yako it means lengo kuu nikupata Idadi kubwa ya waliojiandikisha kupiga kura.
Hivyo kura feki zitaletwa kulingana na idadi ya waliojiandikisha kwenye kupiga kura eneo husika.
Bilashaka unamaana kuna link kati ya mfumo wa iNEC na NIDA na sio daftari kitu ambacho nikawaida coz hakuna namna utaverify NIN kama huna access ya NIDA
NIDA haikupi currently address wala status ya mtu so kutumia NIDA mnaweza andikisha watu MOSHI, KLM ambao wanaishi TABATA, DSM, mnaweza andika marehemu au wagonjwa wasioweza kabisa kupiga kura.
Mifumo ya uongozi wa chini ndio inaweza kuwasaidia kuandaa kura feki kwa usahihi kiasi.
Imani hii sio inaweza sababisha taharuki kubwa miaka yote hivyo inafaa kupuzwa.
Mifumo tarajiwa ya kutrack na kuhifadhi taarifa za makazi kwa kila mtanzania, Ikiwa pamoja na status yake na anapokaa inaweza isiaminiwe na watanzia kwani kwa hoja yako it means huu mfumo utakuwa na mchango mkubwa sana katika hili zaidi ya mfumo wowote ule
Watanzania wakielewa kama ulivyoeleza wewe na wakaamini itakuwa inajengwa chuki na taharuki itayosababisha vita kubwa mno. coz jambo pekee litakuwa linasolve hili itabidi kila aliejiandikisha awe anaulizwa kama kweli alishiriki kupia kura richa yakujiandikisha "ulijiandikisha ndio, je ulipiga kura au hukupiga" ?.
Otherwise unielezee ni kwanamna gani Serikali unayoimani ikiwa madarakani itaniondolea hii hofu iliosababishwa na Imani ya kuto amini michakato.
#KUWA NA IMANI NA SERIKALI YAKO,
NIDA inasidia kupata wapiga kura vivuli.Nilikuwa nabisha wakenya wakisema watanzania tuna IQ ndogo.
Hili la polepole limefanya niamini kweli watanzania tunashida ya kufkiria.
Mtu kwakuwa aliongea ni mtu anae muamini basi yeye anachukuwa tu km lilivyo nae kuliamini.
Sasa Akili ya kwaida tu ujiulize, access ya NIDA inakusaidia vipi kupata kura kupitia mfumo ?
Kama ingekuwa kweli wangekiri hadharani?Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo.
Wakuu hao wamebainisha kwamba hakuna mfumo wowote kwenye taasisi zao uliounganishwa na ya chama chochote cha siasa na kwamba jambo hilo si siri, na endapo lingekuwa hivyo lingekuwa tayari limejulikana.
Katika mazungumzo yake aliyoyafanya usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2025, Polepole amedai kwamba mifumo ambayo chama hichoimeijenga, inakiwezesha kupata ushindi hata kabla hawajakwenda kwenye uchaguzi.
INEC yakanusha
Akizungumzia tuhuma zilizoibuliwa na Polepole, Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele amesema hakuna mfumo wowote wa taasisi hiyo uliounganishwa na chama chochote cha siasa, hususani CCM.
“Hakuna. Sisi ni Tume huru na vitu kama mifumo kuunganisha si vitu vya siri, ukienda tu kitaalumu utajua, ni mfumo gani tuliounganisha na mtu mwingine,” amesema mwenyekiti huyo.
Jaji Mwambegele amesisitiza kwamba hata kama wangekuwa wameunganisha, hiyo inawahakikishiaje ushindi, kwani Tume hiyo inafanya kazi kwa mfumo wa dijitali? amehoji katika majibu yake.
“Kwa maana; je, kura zitapigwa kielekroniki? Kwa hiyo, hakuna kitu kama kuunganisha mifumo ya INEC na chama kingine, lakini nataka nimsikilize anavyozungumza huyo Polepole,” amesema Jaji Mwambegele.
Mwenyekiti huyo amesema mifumo yao haijaunganishwa na chama chochote cha siasa na hata Daftari la Kudumu la Wapigakura wameligawa kwa vyama vyote vya siasa, vinginevyo wangeweza kusema waunganishe katika mifumo yao ili waone.
“Lakini, daftari tumeligawa kwa vyama vyote vya siasa tangu Julai 27, 2025 kwa mfumo kidijitali na mfumo wa hardcopy (nakala ngumu),” amesema.
Jaji Mwambegele amesisitiza kwamba msimamo wa INEC, mjadala unaoendelea kuhusu kuunganisha mifumo, si wa kweli na wananchi hawapaswi kuamini hilo.
NIDA nayo yajitenga
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Nida, James Kaji pia amesema hakuna jambo kama hilo la kuunganisha mifumo, huku akisisitiza Polepole aeleze vizuri kama aliwahi kufanya kazi na mamlaka hiyo huko nyuma.
“Hakuna kitu kama hicho. Ni vema akawaelezea vizuri labda yeye anajua na kama ameshafanya kazi Nida,” ameeleza Kaji alipoulizwa na Mwananchi kuhusu tuhuma zilizoibuliwa na Polepole kuhusu kuunganishwa kwa mifumo hiyo.
Chanzo: Mwananchi.
Mchezo unaanzia wakati wa kuandikisha pale. Majina yanaingia kwenye orodha.Kama kuna mtu kamuelewa polepole anisaidie kueleweshwa vipi kura zinapatikana kwa kuunganisha hiyo mifumo wakati kura zinapigwa kwa makaratasi.
Mkuu..nakuhakikishia daftari la wapiga kura..Lina majina mengi sana ya marehemu, wengine hata hawapo ndani ya nchi, wengine Wagonjwa ambao hata Kwenda kuboresha taarifa zao hawawezi...Unaona huo ni mchakato wa kuhitaji ulink na NIDA ili ufanyike ?.
Maelezo yako it means lengo kuu nikupata Idadi kubwa ya waliojiandikisha kupiga kura.
Hivyo kura feki zitaletwa kulingana na idadi ya waliojiandikisha kwenye kupiga kura eneo husika.
Bilashaka unamaana kuna link kati ya mfumo wa iNEC na NIDA na sio daftari kitu ambacho nikawaida coz hakuna namna utaverify NIN kama huna access ya NIDA
NIDA haikupi currently address wala status ya mtu so kutumia NIDA mnaweza andikisha watu MOSHI, KLM ambao wanaishi TABATA, DSM, mnaweza andika marehemu au wagonjwa wasioweza kabisa kupiga kura.
Mifumo ya uongozi wa chini ndio inaweza kuwasaidia kuandaa kura feki kwa usahihi kiasi.
Imani hii sio inaweza sababisha taharuki kubwa miaka yote hivyo inafaa kupuzwa.
Mifumo tarajiwa ya kutrack na kuhifadhi taarifa za makazi kwa kila mtanzania, Ikiwa pamoja na status yake na anapokaa inaweza isiaminiwe na watanzia kwani kwa hoja yako it means huu mfumo utakuwa na mchango mkubwa sana katika hili zaidi ya mfumo wowote ule
Watanzania wakielewa kama ulivyoeleza wewe na wakaamini itakuwa inajengwa chuki na taharuki itayosababisha vita kubwa mno. coz jambo pekee litakuwa linasolve hili itabidi kila aliejiandikisha awe anaulizwa kama kweli alishiriki kupia kura richa yakujiandikisha "ulijiandikisha ndio, je ulipiga kura au hukupiga" ?.
Otherwise unielezee ni kwanamna gani Serikali unayoimani ikiwa madarakani itaniondolea hii hofu iliosababishwa na Imani ya kuto amini michakato.
#KUWA NA IMANI NA SERIKALI YAKO,
Watavuliwa Nguo IkikaguliwaWaruhusu wakaguzi huru waikague hiyo mifumo inayodaiwa kudukuliwa tumalize ubishi hizi tantalila zao kama wapiga debe hatuzihitaji kwa sasa.
Chadema waliliona hili siku nyingi ndiyo maana moja ya reforms wanazodai ni kukagua hiyo mifumo na ndiyo wahaini wakaja mbogo sana kukwepa aibu.Watavuliwa Nguo Ikikaguliwa
Yaani CCM,INEC,NIDA Wameshikwa Pabaya
2010 ulikuwa na umri gani mkuu?Unaona huo ni mchakato wa kuhitaji ulink na NIDA ili ufanyike ?.