sawa lakini wenye akili kiduchu wote , dunia nzima inajua wako CCM, including you!Hiyo inaitwa UNGANIO siyo MUUNGANO
Hata Tanganyika na Zanzibar ni Ungano isiyo Muungano ila kwa uduchu wa akili zako sidhani hata kama utaelewa
XnYnZ = voting system🤣🤣🤣View attachment 3450013
X= CCM
Y = INEC
Z= NIDA
Qn: Define the function and importance of each union interaction in the ven diagram among the three players in election rigging