King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
habari zenu wadau wa jamii forums.natanguliza heshima kwenu wote.mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika idara ya uhandisi wa umeme na niko katika mahangaiko ya kutafuta maeneo ambayo mwishoni mwa mwaka wa masomo nikafanye.mazoezi kwa vitendo (field studies) sasa maeneo mengi wanayotoa mazoezi hayo sijayafahamu japo nilipenda nipate eneo lolote ndani ya mkoa wa dar es salaam. kama kuna mtu ni mzoefu wa makampuni au mashirika na taasisi binafsi au za serikali husika anaweza akanisaidia....