Industrial metrology

seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
528
409
Wakuu naomba kupewa ufafanuzi wa hii kozi na soko la ajira.
Mtu anayesomea hii anajihusisha na nini haswa na soko la ajira likoje Tanzania.
 
Ukiona kimya sana ingia google unaweza kupata some information za kukupa mwanga kijana
 
Wakuu naomba kupewa ufafanuzi wa hii kozi na soko la ajira.
Mtu anayesomea hii anajihusisha na nini haswa na soko la ajira likoje Tanzania.
Wahitimu wa course hii wanaajiliwa kama weights and measures officer. Ni wakaguzi wa vipimo vinavyotumika ktk biashara kama mizani, pampu za mafuta (shell) pia wakaguzi wa bidhaa zinazofungashwa viwandani.
 
Back
Top Bottom