Induction vs Gas: Okoa Pesa, Hesabu Hazidanganyi!

Induction vs Gas: Okoa Pesa, Hesabu Hazidanganyi!

Izo ni hesabu za kwenye karatasi sio za uhalisia umeaasume the worst scenario ya gas na best scenario ya induction gas mtungi mdogo familia ya watu 4 unaweza pikia mwezi kwenye induction angalia unatumia unit ngap Kwa siku? Times 30 kisha angalia price Kwa mtu alietumia vyote anaweza kuleta ushahidi
Nb: induction Kwa nyumba za kupanga mna share umeme 🤣🤣safiii sanaaa
Endelea kujidanganya
 
Back
Top Bottom