Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,979
- 218,903
Ohoooo !!!!!Public toilet za bongo ukiweka vyoo vy kukalia aisee kuna mengi utakuta huko either mzigo umejaa mpaka unamwagikia au hicho cha kukalia hakipo!!
Ohoooo !!!!!Public toilet za bongo ukiweka vyoo vy kukalia aisee kuna mengi utakuta huko either mzigo umejaa mpaka unamwagikia au hicho cha kukalia hakipo!!
😂🙌🏿 sasa huko kwenye utamu si inakuwa ni siri yako na mpenda utamu mwenzio tu kwani sisi tutajua kama una ukurutu teh teh teh?!Na nnavyouogopa ukurutu wa makalio bora hata ukoma wa mikono kuliko ukurutu wa sehemu tam tam
mm tuu sitaki ukurutu kwa mwili wangu jomoniisasa huko kwenye utamu si inakuwa ni siri yako na mpenda utamu mwenzio tu kwani sisi tutajua kama una ukurutu teh teh teh?!
Ni vema mkuu maana mtoto wa kike ukiwa na ukurutu utakuwa unazidiwa na wale warembo wa kimasai wanaoenda kuchunga wamepaka mafuta ya ng’ombe 😂hehehe wanang’a balaamm tuu sitaki ukurutu kwa mwili wangu jomonii
Ni vema mkuu maana mtoto wa kike ukiwa na ukurutu utakuwa unazidiwa na wale warembo wa kimasai wanaoenda kuchunga wamepaka mafuta ya ng’ombe hehehe wanang’a balaa
Hapo sasawooiiukiandikiwa sindano unajishauri jinsi ya kumuonyesha nesi kalio
ukienda sehemu yenye vya kukaa tu?choo cha kukaa situmii
... Ila kiukweli hivi vyoo vinahitaji jamii safi.Ni wale wanaokata toilet paper na kuitandika chini akimaliza anapandisha mzigo kwa mikono. Ule mlango wa chooni ukifungwa ni mengi sana yanaedelea mle ndani.
Sasa hiyo kingdom fanjai si ndiyo gonjwa lenyewe linalobungua losiliotibika.Ha haha not only kingdom fungi but also diseases
Tafadhali sisi wa Kaliua tunazo kumbi mkuu!Harusi si sikuhizi mnafanyia kwenye kumbi? Lakini kuna the wale ndugu wa kutoka Kaliua na Nanjilinji