Indian toilets

View attachment 846246

Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging issues.

Kwa experience yangu wazee wengi wa 65+ hawawezi kuchuchumaa wakienda haja. Technology ilivvyoendelea siku hizi hata cancer ikiwahiwa inapona na HIV si tatizo tena kama unabuia njugu kila siku.

Maana yake aging population huko tuendako itakuwa kubwa. Sasa uwalete wazee kutoka kijijini kwa matibabu mjini. Kuwawekea Indian toilet ni kuwatesa.
Sijui wewe ni mtu wa namna gani? Nimekuona majukwaa kadhaa huwa unakuwa na hoja Simple, unique ila żenye mantiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 846246

Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging issues.

Kwa experience yangu wazee wengi wa 65+ hawawezi kuchuchumaa wakienda haja. Technology ilivvyoendelea siku hizi hata cancer ikiwahiwa inapona na HIV si tatizo tena kama unabuia njugu kila siku.

Maana yake aging population huko tuendako itakuwa kubwa. Sasa uwalete wazee kutoka kijijini kwa matibabu mjini. Kuwawekea Indian toilet ni kuwatesa.
Sky una data nyingi sana sasa unavyokuwa unazimwaga kwa mpigo kuna slow learners hawakuelewi,hapo kwenye njugu huwa inafika wala njugu nao viral load inakuwa kubwa wanaanza kuumwa
 
Kama unajenga nyumba yako mwenyewe unaweza kuweka vyote viwili kwenye communal toilet.

Usipoangalia unaweza kumpisha mama mkwe master bedroom kwani ameshindwa kuchutama
 
Back
Top Bottom