Indian toilets

Na nnavyouogopa ukurutu wa makalio bora hata ukoma wa mikono kuliko ukurutu wa sehemu tam tam
😂🙌🏿 sasa huko kwenye utamu si inakuwa ni siri yako na mpenda utamu mwenzio tu kwani sisi tutajua kama una ukurutu teh teh teh?!
 
ukienda sehemu yenye vya kukaa tu?
Ni wale wanaokata toilet paper na kuitandika chini akimaliza anapandisha mzigo kwa mikono. Ule mlango wa chooni ukifungwa ni mengi sana yanaedelea mle ndani.
 
Ni wale wanaokata toilet paper na kuitandika chini akimaliza anapandisha mzigo kwa mikono. Ule mlango wa chooni ukifungwa ni mengi sana yanaedelea mle ndani.
... Ila kiukweli hivi vyoo vinahitaji jamii safi.
 
Uzuri wa Indian toilet kwa wanaume hawana haja ya kufunua seat
 
Kwahio msioweza hivi vyoo vya kukaa ina maana ndani mnavyoo vya shimo au vyoo vyenu viko nje?
99% watu over 40yrs old wanavitambi aka overweight mnachuvhumaaje?
 
Tatizo ni kwamba, ukikisema vibaya hiki, kuna watu wanasema kwamba vyoo vya kukaa haviko natural katika kusababisha mtu ajisafishe mpaka mwisho, kwa mana kwamba, choo cha kuchuchumaa, kinasaidia mtu kujikunja vizuri na kumaliza haja vizuri zaidi kuliko cha kukaa.

Na hapo hapo umeibua suala la wazee wanaoweza kuwa na matatizo ya kuchuchumaa.

Sasa hapo kinatakiwa choo kinachofanya anatomy ikae kama umechuchumaa, wakati umekaa, kitakuwa nina address mambo ya angle ya kusaidia kujisafisha vizuri kama choo cha kuchuchumaa, halafu kinatoa support kwa wanaohitaji support kama wazee.

Choo cha aina hiyo sijawahi kukiona bado. Mtu atakayeweza kukitengeneza anaweza kutengeneza a hit toilet.

Especially kama ataweza kutengeneza na mikono ya kushikia mbele ili mtu uweze kunya halafu unajisikia kama unaendesha pikipiki moja babu kubwa!!!

Yani unamaliza haja zako halafu umeshika handles una engage fantasies zako, kama unataka kurusha ndege unarusha, kama unataka kuendesha pikipiki unaendesha, kama unataka kutumia handles kuweka kitabu usome unasoma.

Hicho hata mimi nitakitafuta.
 
Back
Top Bottom