India rejects UK aid

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,375
[h=1]India tells Britain: We don't want your aid[/h][h=2]India’s Finance Minister has said that his country “does not require” British aid, describing it as “peanuts”.[/h]
Pranab-Mukherjee_2129212b.jpg
Mr Mukherjee’s remarks, previously unreported outside India, were made during question time in the Rajya Sabha, the upper house of parliament Photo: REUTERS

Pranab Mukherjee and other Indian ministers tried to terminate Britain’s aid to their booming country last year - but relented after the British begged them to keep taking the money, The Sunday Telegraph can reveal.

The disclosure will fuel the rising controversy over Britain’s aid to India.

The country is the world’s top recipient of British bilateral aid, even though its economy has been growing at up to 10 per cent a year and is projected to become bigger than Britain’s within a decade.

Last week India rejected the British-built Typhoon jet as preferred candidate for a £6.3 billion warplane deal, despite the Development Secretary, Andrew Mitchell, saying that Britain’s aid to Delhi was partly “about seeking to sell Typhoon.”

Mr Mukherjee’s remarks, previously unreported outside India, were made during question time in the Rajya Sabha, the upper house of parliament.

Share it!! Sijawahi kukutana nayo Mkuu RussianRoulette!
Unaweza kusoma story kamili hapa
Kwa kifupi kabisa kuna military jet model toka UK inaitwa Typhoon. The deal was for India to buy some from them.
Ila India ikaamua kununua a french model, called Rafale Jet (deal not yet sealed). Then the UK parliament wakauliza publicly:
How dare they snub Britain, which had given them £1.2 billion in aid?
Basi hicho kimewauma sana wahindi, na it is likely kwamba na lile deal la Typhoon limekwisha sasa. Wamekataa kua humiliated kwa misaada midogo wakati what they will give the UK for this deal ni nyingi kuliko wanacho pata kama msaada toka kwao.
 
Tanzania wataweza namna hiyo walivyofanya India? Wa Tanzania ni omba omba Nature wakipewa Misaada hawata kataa hata misaada isiyokuwa na faida kwani Sisi Wa Tanzania tumezoea kusaidiwa kila tunapokwenda tunajulikana Wa Tanzania ni omba omba tu.
 
hapa kwetu tungepewa hata robo ya hiyo tungekubali hata watushike ******!
 
Unaweza kusoma story kamili hapa
Kwa kifupi kabisa kuna military jet model toka UK inaitwa Typhoon. The deal was for India to buy some from them.
Ila India ikaamua kununua a french model, called Rafale Jet (deal not yet sealed). Then the UK parliament wakauliza publicly:
How dare they snub Britain, which had given them £1.2 billion in aid?
Basi hicho kimewauma sana wahindi, na it is likely kwamba na lile deal la Typhoon limekwisha sasa. Wamekataa kua humiliated kwa misaada midogo wakati what they will give the UK for this deal ni nyingi kuliko wanacho pata kama msaada toka kwao.

Bongo tungepiga kelele wananchi kwa wiki moja, wanalipua lingine tunasahau kama kawaida. Thanks for the useful info my dear RussianRoulette.
 
Hii hatua ni ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa na kuavoid humiliation.Cameron yupo under pressure kutoendelea kutoa aid kwa China na India hasa India walipotomia mabilion kununua ndege za kivita kutoka France.

Mtazamo wangu,hii miezi mitatu kabla ya next financial year, UK muda wowote wakengetangaza kusimamisha misaada ya kifedha kwa India,walichofanya ni kujaribu kuepuka UK media kufutilia mambo yao ya ndani na kujijengea jina.

India ni tajiri kama nchi lakini bado asilimia kubwa ya baadhia ya raia wake wanaishi kwenye umaskini mkubwa,kuna watu wanauza mpaka organs ili waweze kununua chakula.
 
Unaweza kusoma story kamili hapa
Kwa kifupi kabisa kuna military jet model toka UK inaitwa Typhoon. The deal was for India to buy some from them.
Ila India ikaamua kununua a french model, called Rafale Jet (deal not yet sealed). Then the UK parliament wakauliza publicly:
How dare they snub Britain, which had given them £1.2 billion in aid?
Basi hicho kimewauma sana wahindi, na it is likely kwamba na lile deal la Typhoon limekwisha sasa. Wamekataa kua humiliated kwa misaada midogo wakati what they will give the UK for this deal ni nyingi kuliko wanacho pata kama msaada toka kwao.

I like this..sijui lini tutaweza kuthubutu!.no wonder Indians are proud of their country,ceteris puribus.ila isije kuwa changa!
 
Tanzania wataweza namna hiyo walivyofanya India? Wa Tanzania ni omba omba Nature wakipewa Misaada hawata kataa hata misaada isiyokuwa na faida kwani Sisi Wa Tanzania tumezoea kusaidiwa kila tunapokwenda tunajulikana Wa Tanzania ni omba omba tu.
Sisi ni wajinga kwasababu tumekubali kutawaliwa na viongozi wajinga!

Back to the topic, kama si ujinga ni nini?

Kuna hii kitu, t.a.n.s.t.a.a.f.l, ukiwaambia hiyo misaada ni kamba shingoni wao hawajali kwasababu si ndo watop ambao itabidi wananchi wale nyasi almradi wawe juu?Wana dola, wana mipesa kwenye akaunti za nje zimekaa tu bila kazi, na kuna wananchi wanateseka, unadhani wanajuwa hii kitu kuhusu there is no such a thing as a free lunch?

Meaning

The economic theory, and also the lay opinion, that whatever goods and services are provided, they must be paid for by someone - i.e. you don't get something for nothing. The phrase is also known by the acronym of 'there ain't no such thing as a free lunch' - tanstaafl.
Origin

Before discussing the origin of 'there's no such thing as a free lunch' it would be useful to go back to the days in which lunches were free. Free lunch was a commonplace term in the USA and, to a lesser extent in Britain, from the mid 19th century onward. It wasn't used to describe handouts of food to the poor and hungry though, it denoted the free food that American saloon keepers used to attract drinkers; for example, this advertisement for a Milwaukee saloon, in The Commercial Advertiser, June 1850:

At The Crescent...
Can be found the choicest of Segars, Wines and Liquors...
N. B. - A free lunch every day at 11 o'clock will be served up.

Free lunches, often cold food but sometimes quite elaborate affairs, were provided for anyone who bought drink. This inducement wasn't popular with the temperance lobby and was also criticized for the same reason that others in the 20th century later introduced the TANSTAAFL idea to economic thinking, i.e. saloon customers always ended up paying for the food in the price of the drinks they were obliged to consume. Indeed, some saloon keepers were prosecuted for false advertising of free lunch as customers couldn't partake of it without first paying money to the saloon.

The phrase appears to have come about in response to the libertarian views of Henry Wallace, the US Vice President between 1941 and 1945. He wrote an article which was originally published by The Atlantic Monthly in which he suggested a post-WWII worldwide economic regime offering "minimum standards of food, clothing and shelter" for people throughout the world and offering the opinion that "If we can afford tremendous sums of money to win the war, we can afford to invest whatever amount it takes to win the peace". Paul Mallon, a Washington journalist, responded to Wallace's article with a critical piece, published in several US papers, including The Lima News, January 1942:
"Mr. Wallace neglects the fact that such a thing as a 'free' lunch never existed. Until man acquires the power of creation, someone will always have to pay for a free lunch.
The first record I can find of the precise phrase there's no such thing as a free lunch, comes following year, in an editorial in The Long Beach Independent, October 1943, again referring to Wallace:
"Some people say there is no such thing as a free lunch, but you listen to a fireside chat from Washington, and the voice will tell you all about it, and how you can make something for nothing."

The 'there ain't no such thing as a free lunch' version of the phrase is often reduced to the acronym TANSTAAFL. This is widely associated with the science fiction writer Robert Heinlein. he did used the term several times in his 1966 novel The Moon is a Harsh Mistress, but the coinage of the acronym pre-dates that by at least a quarter of a century. The earliest citation I can find for tanstaafl is from October 1949, when it appeared in a book review published in several US newspapers, including The Independent Record:
Now, our secret: Tanstaafl is mnemonic for "there ain't no such thing as a free lunch."

It was into this context that the economic theorists enter the fray and 'there's no such thing as a free lunch' is coined. It isn't known who coined the phrase. It certainly wasn't the economist Milton Friedman, who was much associated with the term. He was a celebrated Nobel Prize-winning economist and his monetarist theories were highly influential on the Reagan and Thatcher administrations in the 1980s and 90s. Friedman certainly believed that 'there's no such thing as a free lunch' and he published a book with that title in 1975, but wasn't, and never claimed to be, the originator of the phrase.
 
India ni tajiri kama nchi lakini bado asilimia kubwa ya baadhia ya raia wake wanaishi kwenye umaskini mkubwa,kuna watu wanauza mpaka organs ili waweze kununua chakula.
Tukienda kwenye ukweli wa rasilimali, nani ataamini kuwa Tanzania ni masikini? Sioni tafauti kubwa kati ya umasikini/utajiri wa India na Tanzania. Zote zinalingana kwa moja - wahindi ndio wanaoendesha uchumi wa nchi hizi, na mhindi hajali aliyeko chini.

Itaonekana kama joke, lakini bora hao wahindi masikini wanaopata fursa za kuuza organs zao. Watanzania wakaviuze wapi?
 
Hii hatua ni ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa na kuavoid humiliation.Cameron yupo under pressure kutoendelea kutoa aid kwa China na India hasa India walipotomia mabilion kununua ndege za kivita kutoka France.

Mtazamo wangu,hii miezi mitatu kabla ya next financial year, UK muda wowote wakengetangaza kusimamisha misaada ya kifedha kwa India,walichofanya ni kujaribu kuepuka UK media kufutilia mambo yao ya ndani na kujijengea jina.

India ni tajiri kama nchi lakini bado asilimia kubwa ya baadhia ya raia wake wanaishi kwenye umaskini mkubwa,kuna watu wanauza mpaka organs ili waweze kununua chakula.
Mkuu, NI kweli kua India ina poverty rate kubwa ila huwezi kulinganisha na Tanzania. Pia asilimia kubwa ya masikuni wa India wako under a dollar per day ila above 50 cents per day (and going up). Pia Government inazidi kuongeza juhudi za kujenga uchumi unao wafaa masikini (Pro-poor policies). Sio sawa na huku kabisa.
Kumbuka kuna direct link kati ya uchumi wa nchi na uchumi wa individuals. Growth benefits don't happen overhignt. Kama masikini anapata under a dollar per day leo, baada ya kumjengea infrastructures, watoto wake kusoma na benki kumpa mkopo anaweza kua na 5 dollars a day kesho. give it time.
 
he he he sisi uchumi wetu unashuka by more than 10%.....india wakigoma kuchukua hizo hela utashangaa serikali yetu itaenda kuziomba wapewe wao
 
Back
Top Bottom