Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Kha!,kha!,huko atakutana na mkong'oto wa kufa mtu.Huyu akanyage ubao ule usemao "SASA UNAINGIA MARA" hataomba tena talaka
Naona huyo mumewe ni peculiar, sidhani km Wanaume wote wa India wako hivyo.Akina uchebe huko hawajafika.
Huyu ana hamu na kipondo.Aje kwetu ukuryani apate tulizo na moyo wake!
Kweli kabisa, maana "Mkataa pema pabaya panamngoja".Anachokitafuta atakipata
🤣🤣💃💃💃🤸🤸Akina uchebe huko hawajafika.
Huyu inatakiwa unatoka kazini anafungua tuu mlango kukupokea, unamrudisha ndani na bonge ya ndoga, akiamka hapo lazima amtafute mjumbe, akiendelea kulalamika ni kumtoroka atakuua sasa.Naona huyo mumewe ni peculiar, sidhani kama Wanaume wote wa India wako hivyo.
Kha!,kha!, kha!,Duh umenichekesha kweli kweli.Huyu inatakiwa unatoka kazini anafungua tuu mlango kukupokea, unamrudisha ndani na bonge ya ndoga, akiamka hapo lazima amtafute mjumbe, akiendelea kulalamika ni kumtoroka atakuua sasa.

Mkuu umefurahi sana.🤣.🤣🤣💃💃💃🤸🤸