SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,079
- 7,976
New Delhi inafikiria kuchangamkia ofa ya mafuta yaliyopunguzwa bei kutoka Urusi, mara tu maswala ya bima ya bidhaa hiyo yatakapotatuliwa.
Kwa kawaida India inaagiza takriban 2-3% ya mafuta yake kutoka Urusi.
80% ya mafuta yote yanayotumika nchini India huagizwa nje kwa jumla - na inaripotiwa kuangalia kuanzisha utaratibu wa biashara ya rupia kuruhusu nchi hizo mbili kufanya biashara nje ya vikwazo.
Serikali ya India pia inatazamia kutumia mbolea ya bei nafuu ya kutok Urusi pia.
Chanzo: RT news
*****************
Nota bene: (( nichukue nafasi hii kuishauri Serikali ya Mh. Samia kugeuzia macho Kremlin maana ndipo kulipo na fursa, hasa katika mafuta )