Inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uparo, May 9, 2012.

 1. U

  Uparo Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Wakuu ningependa kujua iwapo mtu mwenye BA. PROJECT PLANNING,MANAGMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT kama anaweza kupata kitengo JWTZ. Yeyote mwenye kujua naomba unijuze. Naomba kuwasilisha kwenu
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wewe unataka kutumia BA yako kufyatua mabomu?
   
 3. S

  Sweetlol Senior Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  amesoma udom huyo
   
 4. U

  Uparo Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  kinacho mata unanini ndani ya kichwa chako na siyo umesoma wapi though nimesoma udom bt najiamini i am competent na cyo vingine as ubora wa elimu hupimwa kwa product mojamoja na siyo majumuisho
   
Loading...