Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

Sasa mtaji wa laki huna Ila bando la kuja kulalamika unapata?

Nyinyi vijana ni ni walemavu wa akili..

Nimetoa hao waosha miguu kama mfano tu..
Unahitaji laki kuuza maji?..
Unajua wauza maji wanaingiza ngapi kwa siku?..nenda stendi yeyote uliza mama ntilie wanaowaletea maji wanawalipa sh ngapi?..

Kwenda kujifunza grill na madirisha unahitaji laki?...hizi elimu ndo zinawafanya muwe walemavu wa akili??
Halafu ukiwaambia kitu na mifano wanakuita motivational speaker. Wakati najenga kibanda changu alipita kijana akaniambia bro naomba kazi ya madirisha, nikamuuliza mjumbe wa eneo lile unamjua huyu na anaweza kazi? Akaniambia namjua anaweza nikamwambia nitakuita. Hapo ndio anaanza anza, kweli ikafika siku nikamuita akaweka madirisha yote ya aluminium. Baada ya mwaka kama na nusu nakutana nae ana Vitz akaniambia bro mambo si mabaya sasa nashukuru watu wananiamini.
Baadae tena nikamuona na kirikuu akaniambia nimeuza ile Vitz nimenunua hii kwa ajili ya kazi yangu na sasa hivi nimeshaanza ujenzi karibu namalizia.
Huyu kijana ametoka Mbeya kaingia mjini kakodi fremu anatengeneza madirisha ya aluminium sasa hivi anaitwa hadi Mtwara kuwekea watu madirisha ofisi ishakuwa kubwa maisha yanaendelea. Sasa nyie hapa mjini na degree zenu subirini serikali iwaajiri.
 
We ulipo hapo unaweza mpa mwanao mtaji auze maji road?unajua jinsi hao watoto wa kike wanaouza maji huko kitaa wananyanyasika?
Sema ngoja nikuache as it seems you are one of those motivational speaker ila ule uhalisia wa hayo uliyoyataja huyajui vizuri!
Saa hii unaandika hapa ukiwa kwenye veiteee,
Isiwe kesi,enjoy your lunch and have a very bright day ahead of you!
Peace!

Haya subiri serikali itakupa ajira ya kiyoyozi..

Kuuza maji kwenye madumu kama mimi siwezi mwanangu kumuacha auze na wewe usiuze
 
Halafu ukiwaambia kitu na mifano wanakuita motivational speaker. Wakati najenga kibanda changu alipita kijana akaniambia bro naomba kazi ya madirisha, nikamuuliza mjumbe wa eneo lile unamjua huyu na anaweza kazi? Akaniambia namjua anaweza nikamwambia nitakuita. Hapo ndio anaanza anza, kweli ikafika siku nikamuita akaweka madirisha yote ya aluminium. Baada ya mwaka kama na nusu nakutana nae ana Vitz akaniambia bro mambo si mabaya sasa nashukuru watu wananiamini.
Baadae tena nikamuona na kirikuu akaniambia nimeuza ile Vitz nimenunua hii kwa ajili ya kazi yangu na sasa hivi nimeshaanza ujenzi karibu namalizia.
Huyu kijana ametoka Mbeya kaingia mjini kakodi fremu anatengeneza madirisha ya aluminium sasa hivi anaitwa hadi Mtwara kuwekea watu madirisha ofisi ishakuwa kubwa maisha yanaendelea. Sasa nyie hapa mjini na degree zenu subirini serikali iwaajiri.

Mimi binafsi nawajua waosha miguu Tu ya wadada na wanapitia nyumba kwa nyumba
Wanaingiza 100k daily...hao wa Mwenge ndo sijui watakuwa wanaingiza ngapi?

Watu wa grills na madirisha kibao ambao hawatamani kabisa kuajiriwa..

But hapa JF kila mtu mjuaji
 
Hamuwezi kujiajiri bila mtaji? Kuna kijana nilisoma tangazo lake humu JF anaweka urembo ukutani na kwenye madirisha, nilimpa kazi. Hii inahitaji skills tu ambazo unaweza kwenda kujifunza kwa fundi mwingine yoyote kama saidia fundi/unajitolea. Huyu kijana anachaji nguzo moja 40,000/-. Alipiga kazi na kila siku alikuwa ananiambia blaza napata kazi hapa hapa kila siku watu wananiomba namba. Sio siri yuko vizuri ndio maana wapita njia walikuwa wanamuomba namba wampe kazi. Sasa hii nayo inahitaji mtaji kiasi gani? Anyway labda yeye hajasoma kama nyinyi hamuwezi kucheza na saruji.....sio siri ukimkuta alivyojaa simenti kama kibwengo...:p:p:p:p
 
Well said,kuna kazi kubwa sana kuelimisha vijana wa sasa wengi hawapendi kujituma kimwili na kiakili unaeza shangaa hapo ana smartphone ya laki kadhaa na vocha hakosi!!
We ni tatizo kabisa ktk nchi hii.

Kila mwaka vyuo vinatoa wahitimu,unadhani ajira za kuwatosha wote zinatoka wapi ktk nchi hizi za kiafrika masikini?

Unapaswa kujiongeza kwa akili ya kuzaliwa kwamba juhudi zako hazitegemei mawazo ya wengine wawaze cha kufanya ili wakuajiri wewe ,unapoambiwa tegemea akili yako,juhudi na maarifa ndiyo tafisiri ya neno "KUJIAJIRI "

Kaa hapo unasubiri serikali utakufa masikini
 
Nakumbuka miaka ya 90,wakati ubinafsishaji unapiga hodi,Tanesco wakaja na hizi MITA za LUKU,watanzania ambao waliozoea kuishi bila kulipa umeme,waliona ni kama janga,watu walikwisha zoea kutumia umeme mpaka wa millioni ila wanalipa kidogokidogo,sasa wakaambiwa utalipa kadri unavyotumia,ikiisha hela,umeme unakata!wananchi walipinga sana hii,vijana haya hamuyajuhi,sasa na hili Swala la ajira,itafika pointi vijana wataelewa tu,kwamba ukitoka chuoni,usipoteze muda Mjini na bahasha ya kaki,rudi Kijijini kafuge,Lima,endesha boda boda,fungua duka la nguo,
Anza maisha
 
We ulipo hapo unaweza mpa mwanao mtaji auze maji road?unajua jinsi hao watoto wa kike wanaouza maji huko kitaa wananyanyasika?
Sema ngoja nikuache as it seems you are one of those motivational speaker ila ule uhalisia wa hayo uliyoyataja huyajui vizuri!
Saa hii unaandika hapa ukiwa kwenye veiteee,
Isiwe kesi,enjoy your lunch and have a very bright day ahead of you!
Peace!
Yani huna ajira bado unaona aibu kuuza maji.. Aiseeee!!
Hii elimu yetu inahitaji marekebisho sana

Yes kama mzazi nitampa kijana wangu mtaji auze maji tatizo lipo wapi, huenda huko kwenye maji akapata fursa nyingine zaidi na kuonekana.

Watu huanza kuthamini kujituma kuliko blah blah za nimegraduate..
 
Eeh hamna biashara ngumu kwenye storyπŸ˜‚
yes ila ukweli kumtoa graduate kwenye hali ya ugraduate kumleta maisha ya kitaa ni shida kubwa
pia wengi wana Ego na kudharau baadhi ya shughuli
unaweza kumtengenezea ramani anaanza kujikuta yupo juu wakati hana ramani yoyote
na hapondio wanaposhindwa na darasa la saba
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hizi story za kujiajiri ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa serikali ambao wao ni waajiriwa zinaumiza sana.

Haiwezekani nipo shuleni kuanzia Nina umri wa miaka 6 Mpaka leo Nina miaka 25/26 then uje uniambie nijiajiri.

Najiajiri Nini Sasa?

Inaudhi sana.

Mjadala mpana sana huu, nadhani sasa wanasiasa na Inspirational speakers wakatazwe kusema haya maswala ya kujiajiri labda tu wanaposimama wawe cash za kugawa mitaji baada ya kuambia watu wajiajiri
 
Yani huna ajira bado unaona aibu kuuza maji.. Aiseeee!!
Hii elimu yetu inahitaji marekebisho sana

Yes kama mzazi nitampa kijana wangu mtaji auze maji tatizo lipo wapi, huenda huko kwenye maji akapata fursa nyingine zaidi na kuonekana.

Watu huanza kuthamini kujituma kuliko blah blah za nimegraduate..
kikubwa kinachowagharimu ni hichi
unabaki kushindana na mtawala unasahau wakati haukusubiri
kila unachokifanya ni hatua kwenda pengine
 
Back
Top Bottom