Inawezekana vipi mtu akajiajiri ambapo hajawahi kuuza hata karanga? Serikali acheni porojo, toeni ajira kwa wahitimu

Wewe hukwenda kujiajiri kwa kukosa option, you went there because you chosen that path! Wanaolalamika hapa ni hawa ambao waliambiwa soma mwanangu upate kazi nzuri akili imejengwa hivyo toka ground “0” halafu ghafla unaambiwa kazi amna jiajiri!
Yah lazima udate kiukweli.
 
Hivi unajua wa wapaki rangi pale mwenge kweli mkuu?unadhani kila mtu anaweza kupata hizo ela?ili ufanye ile biashara unahitaji si chini ya laki,ununue zile rangi,kifaa cha kukaushia rangi nk,so unahisi kila mtu anaweza?kama uko njema usisemee wengine,hakuna anaependa kukaa bure mkuu!

Sasa mtaji wa laki huna Ila bando la kuja kulalamika unapata?

Nyinyi vijana ni ni walemavu wa akili..

Nimetoa hao waosha miguu kama mfano tu..
Unahitaji laki kuuza maji?..
Unajua wauza maji wanaingiza ngapi kwa siku?..nenda stendi yeyote uliza mama ntilie wanaowaletea maji wanawalipa sh ngapi?..

Kwenda kujifunza grill na madirisha unahitaji laki?...hizi elimu ndo zinawafanya muwe walemavu wa akili??
 
Natoa wito kwa vijana mjitambue andamaneni Kudai haki yenu ya kupewa ajira na serikali ya Tanzania hii ya kihuni kihuni

Mwenye nacho anaongezea na asiyekuwa nacho ananyan'ganywa hata kidogo alichonacho hii roho ipae iende mpaka kwa vijana wanaomaliza JKT na kurudishwa mitaani kuja kusota kataeni huo ujinga kuna watu wanafaidi sana hii nchi mishahara na maposhoposho Kibao nyie mnatoka JKT mje kujiajiri hamna hata mitaji wawape mitaji hata mil 3 tatu ndiyo mje mtaani vinginevyo kataeni andamaneni fanyeni Fujo zisizo na mwisho nyie mnamafunzo polisi hawatawaweza piga polisi akileta kiherehere, mwisho wa siku hii nchi watu wote tutanufaika.
....
Mh! Big thinker, small thinker!
 
Mtaji gani mnataka wakati shule mmeenda na nguvu mnazo?

Hamuwaoni wenzenu hawajaenda shule lakini wanaosha Tu miguu wakina dada na kukunja hadi 150k kila siku??

Wewe why usijiunge huko?

Wanaouza maji mitaani huwaoni?
Unajua wanaigiza ngapi kwa siku?

Nikikwambia ajira unayoitafuta mshahara wake hautafika hata nusu
Ya wanachopata waosha miguu
Utaamini?
Wacheni hizi Story za abunuwasi
Kama kuosha miguu kuna faida mbona wewe hujaenda kuosha miguu?

Msilete u motivational speaker kwa vijana waliotoka vyuoni na hawana hata ABC..
 
Harafu viongozi wanashindwa tu kujua kwenye hii nchi kuna watu wanaakiri sana kuliko hata wao na wengine tuna mambo makubwa ya kufanya mbowe, tundu lisu, zito hao wote cha mtoto siku tukiliamsha wasishangae tunasoma mbinu wanazotumia kuwatuliza wapinzan next generation ni sisi tutakuwa tumejipanga tunanguvu na mazoezi ya kutosha tutaelewana tu hii nchi itakuwa ya watu wote siyo kundi la watu wachache wenye tamaa na uchu wa Mali na madaraka tunaangalia namna ya kuamsha popo we are ready to die for our nation.
Ttatizo ni kwamba hata mkikiamsha, hao wenye uchu wao watakwea pipa wakatulie wakati nyinyi maskini mnaumizana. mkimaliza wanarudi.
 
Tatizo watu wanaoshinda kwenye AC ofisini hawajui namna vijana mitaani wao wanaoita wamejiajiri ni msoto gani wanapitia.
Kwa sasa mmehamia kwenye kusugua miguu wadada baada ya kuchoka kusema vijana wajiajiri kwenye kilimo..

Tunasubiri wimbo mwengine..
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hizi story za kujiajiri ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa serikali ambao wao ni waajiriwa zinaumiza sana.

Haiwezekani nipo shuleni kuanzia Nina umri wa miaka 6 Mpaka leo Nina miaka 25/26 then uje uniambie nijiajiri.

Najiajiri Nini Sasa?

Inaudhi sana.
Ndio maana niliamua kuwa mshirikina
 
Sasa mtaji wa laki huna Ila bando la kuja kulalamika unapata?

Nyinyi vijana ni ni walemavu wa akili..

Nimetoa hao waosha miguu kama mfano tu..
Unahitaji laki kuuza maji?..
Unajua wauza maji wanaingiza ngapi kwa siku?..nenda stendi yeyote uliza mama ntilie wanaowaletea maji wanawalipa sh ngapi?..

Kwenda kujifunza grill na madirisha unahitaji laki?...hizi elimu ndo zinawafanya muwe walemavu wa akili??
We ulipo hapo unaweza mpa mwanao mtaji auze maji road?unajua jinsi hao watoto wa kike wanaouza maji huko kitaa wananyanyasika?
Sema ngoja nikuache as it seems you are one of those motivational speaker ila ule uhalisia wa hayo uliyoyataja huyajui vizuri!
Saa hii unaandika hapa ukiwa kwenye veiteee,
Isiwe kesi,enjoy your lunch and have a very bright day ahead of you!
Peace!
 
Back
Top Bottom