Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,303
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania aitakayo?
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania aitakayo?