Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,404
Ni kweli ulichokisema kwamba si kila deni la serikali huwa linasemwa, lakini why waanze na kupinga? Why haya yanayoulizwaulizwa yasisemwe? WANAFICHA NINI?kwani madeni yote serikali inayolipa huwa wanakwambia? nenda hazina au BOT watakwambia lakini ukikaa huku mtaani unabishana huwezi kupata hizo information