Ila wote lzm washirikiane maana hkl ndo utoa menejiment ya vya wa pcmNdege zinatengenezwa na wanasayansi waliosoma PCM na si HKL! Ni masuala ya kisayansi.
Ila wote lzm washirikiane maana hkl ndo utoa menejiment ya vya wa pcmNdege zinatengenezwa na wanasayansi waliosoma PCM na si HKL! Ni masuala ya kisayansi.
Ndo madhara ya kuwapa dhamana wanaokuja kujifunza,sawa na nyumba yako kuchukua Fundi wa kujifunzia kupiga bati, au kinyozi.Lakini Mimi naamini kupitia hili serikali yetu itakua imejifunza na hata kupata somo maridhawa
Mkuu chige, Ethiopia wamenunua bombardia kumi, hizi mnazoziita pangaboi. Lakini kila siku tunawaona waethiopia wakikamatwa wakiwa wamejificha kwenye malori yanayokatiza kuelekea kusini mwa Afrika.Mkuu Bukilo!
Mimi ni mmoja wa wapinzani wa ununuzi wa ndege... unadhani sipendi tuwe na ndege zetu wenyewe?!
Hell no! Nataka sana but we've unfavorable business condition for now na kwahiyo it's irrational kufanya huge investment wakati buainess maths inaonesha wazi hilo ni tanuri lililojaa makaa ya mawe yanayotokota!!
With your "too much" limited capital una-invest pale penye promising return na sio pale ambapo hata ukifanya industry analysis unajua kabisa unless uwe very exceptional or else you're dead!
Unafanya investment pale kwenye promising return ili hatimae ufanye re-investment!!
Hii ya kwenu haina chochote zaidi ya national pride; BASI! And of course, zipo national flag carriers nyingi ambazo still zipo "in business" si kwa sababu zinatengeneza faida bali tu for national pride!!
Hata hivyo, hao wenzetu hilo shipa ni la kurithi na sio hili la kwetu la kujitandika sindano makusudi kwenye kende ili ziumuke na kuwa shipa!
Point ya barafu ni kua CS300 inatumika jet engine na Q400 ni engine nyingine jina kaandika turbo propeller sijui kama sijakosea jina na spelling . Pia dreamliner inatumia engine nyingine hapo ndipo penye ukakasi maana unaitaji mainjia wengi kwa maana ni engine tofauti na shirika linaanza kujifufua ni gharama sana
KQ bado wanayo na ndio inafanya safari za nje nimetoka Nairobi last week ilikuwepo inaelekea ParisSasa mkuu mimi nisijue kuwa Dreamliner na B787-800 au 900 series ni kitu kimoja?Waliouza ni KQ
Hii ni Leo kwenye website yao inaonekana into a service. Hebu lete ushahidi wa kuuza kwa hiyo dreamliner ya KQSasa mkuu mimi nisijue kuwa Dreamliner na B787-800 au 900 series ni kitu kimoja?Waliouza ni KQ
Nisome taratibu na kwa vituo!!Mkuu chige, Ethiopia wamenunua bombardia kumi, hizi mnazoziita pangaboi. Lakini kila siku tunawaona waethiopia wakikamatwa wakiwa wamejificha kwenye malori yanayokatiza kuelekea kusini mwa Afrika.
Ukisubiri eti uwe na uchumi ambao unakuruhusu kununua ndege, aisee itakubidi usubiri miaka mingine 100.
Warusi wanao msemo usemao...asiyekuwa tayari kuhatarisha maisha yake basi huyo asitegemee kunywa mvinyo.
Naamini wataalam wanaomshauri Bwana Mkubwa juu ya manunuzi ya ndege wanaelewa wanafanya nini. Na tusiwe wepesi kusahau kwamba ni sisi tuliokuwa tunalalamika kwanini hatuna ndege za kwetu wenyewe.
Binafsi huwa sipendi mentality ya kulalamika kila kukicha, ni dalili ya kuwa na aina fulani ya kutotaka kuumiza vichwa vyetu.
Umeielewa hoja yangu??hoja haipo kwenye kuharibika....Ipo kwenye "Fleet Commnality".
Hayo mengine unajipa pressure tu
Hii ni Leo kwenye website yao inaonekana into a service. Hebu lete ushahidi wa kuuza kwa hiyo dreamliner ya KQ
View attachment 771949
Hivi umemsona vizuri au umeamua tu kubisha?!Kwanza kuna sehemu unapotosha Ndege za ATC zinatoka mashirika mawili tu lakini kwa ujanja wa kupotosha umwtaja aina ya Ndege kuwaaminisha watu ni makampuni matatu tofauti. CS300 na Q400 ni Ndege za shirika moja bombardier, kwa hiyo sisi tuna Ndege kutoka mashirika mawili tu bombardier na Boeing.
Kwa IATA umesema kweli ATC lazima walifanyie kazi tatizo lao walipe hilo deni wasijidanganye kuwa watafanya biashara kivyaovyao
kwa hiyo kwa sababu hatuna mafundi wazalendo basi tusiwekeze kwenye ndege, dah watz hizi akili za namna hii tunatoa wapi?Hivi umemsona vizuri au umeamua tu kubisha?!
Alichosema ni ndege "Makabila" 3 tofauti kwa maana kwamba; ingawaje CS300 na Q400 ni ndege za "kabila" moja, lakini mashine zake tofauti... moja ni turboprop engine na nyingine na jet engine!
Kwenye hiyo engines portfolio; ongeza na Dreamliner!
Na concern yake ya kwanza ilikuwa ni uhaba wa mafundi wazalendo!
So, kama unataka kupinga; pinga suala la CS300 & Q400 kuwa na engines tofauti na utuambie engines zao ni zipi hasa!
Aidha, pinga suala la uhaba wa mafundi na tuambie kwamba tuna mafundi walio vizuri kwa mashine za aina zote!
Kinyume na hayo; basi upo hapa kupinga tu ili mradi umepinga tena probably ukipinga mambo usiyo na utaalamu nayo!
Tatizo si mafanikio kuja kwa kuchelewa au haraka......Mkuu mleta mada mafanikio HUWA HAYAJI KIRAHISI RAHISI kama sisi tunavyotaka...
Siku zote up and down zipo tu ILA SIKU MOJA TUTAFIKA na mkubali mkatae MAGUFULI kwenye hili la NDEGE Kafanya maajabu mno NA ANASTAHILI KUPONGEZWA sema ndio hivyo tena WATU WANACHUKI TU mpaka kufikia kutoona mazuri.
Mlio wengi humu JF kuharibika kwa INJINI ya hiyo ndege(KAMA NI KWELI IMEHARIBIKA) NI FURAHA KWENU...maana mpo kusubiri kuona mabaya tu(Na inawezekana mnakesha mkiomba kabsa) ili mpate pakusemea LAKINI MAZURI hamuyaoni kabsa
kama serikali inadaiwa lazima walipe na kama wamelipa ni vizuri tuendelee na maisha mengine au watu walitaka ndege zisije kabisa kwa sababu ya deni?Tatizo si mafanikio kuja kwa kuchelewa au haraka......
Tatizo si kufurahia au kuhuzunika kwa ndege kuharibia....
TATIZO NI KWA NINI HAWASEMI? KWA NINI INAKUWA SIRI KUBWA?
Hawakusema kudaia kisa kuvunjwa mkataba wa ujenzi wa barabara.......
Hawakuisema kukamatwa kwa bombadia kisa hukumu baada y akuvunja mkataba kimakosa........
Hawakusema nyingine ilikuwa ishirikiliwe Marekani kisa baada ya kushikiliwa ya kwanza hakuna aliyehangaika na kulipa....
Hawakusema kwamba baada ya ile ndege ya pili nayo kuwa hatarini kukamatwa, BASI WAMELIPA MAMILIONI .....
KILA KITU HAWASEMI, NA BAHATI MBAYA HAWAKAI KIMYA TU, BALI WANAANZAGA NA KUKANA.....
Halafu wanafuata VITISHO KWA MTOA TAARIFA.....
Mwisho wanalipa mihela yote lakini hawasemi kwamba wamelipa... ILA WANAWAITA WATU KUPIGIA PICHA KWENYE BOMBADIA..!!!
WANAWAITA WATOA TAARIFA SI WAZALENDA....!!!!!
Hujajibu kilichoulizwa... SIAJASEMA WASILIPE...kama serikali inadaiwa lazima walipe na kama wamelipa ni vizuri tuendelee na maisha mengine au watu walitaka ndege zisije kabisa kwa sababu ya deni?
kwani madeni yote serikali inayolipa huwa wanakwambia? nenda hazina au BOT watakwambia lakini ukikaa huku mtaani unabishana huwezi kupata hizo informationHujajibu kilichoulizwa... SIAJASEMA WASILIPE...
WHY USILI, WHY WAANZE NA KUKANA, WHY KU-DEAL NA WATOA TAARIFA? Jibu hayo maswali...ACHA MBWEMBWE