Inawezekana mashariti ya mganga kwa mheshimiwa sana ni kijana wake mpendwa kufanya vioja

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Sometimes nawaza kuwa huenda hii ndio sababu ya kijana kuachwa atambe anavyotaka kwa kufanya kila aina ya vituko na mambo mengine yasiyoendana kabisa na maadili ya kazi yake pasipo kuguswa na aliemuweka hapo alipo.

Waganga wanasemekana kutoa mashariti ya ajabu ajabu sana na ambayo kuyakubali yataka moyo kwani mengine huifanya hata jamii inayokuzunguka kubaki inakushangaa kama ambavyo wote tunamshangaa Bashite na Baba yake katika hili hivyo huenda hata katika hawa wawili mganga anahusika.

Kwa mfano,tunasikia kuna wanaopewa mashariti ya kutokuoa,wengine kutovaa viatu,kuwafanya wanao mazezeta,n.k mradi tu ni mashariti ya ajabu ajabu ambayo kuyakubali yataka moyo na ambayo ukija kuyakiuka,basi kila kitu kinakuharibikia.

Naomba niishie hapa.
 
Hii nayo ni thread?
Kwanini wakat mwingne usikae kimya tu ukasoma mawazo ya wenzako kuliko kuandika pumba?
U are not qualifying to be a spy!!!!!! Usiite hoja ya mwenzako pumba wakati huo huo kujaji uwezo wa akili yako Ni mdogo kushinda point moja tu katika thread nzima.

Tathmini uwezo wa akili yako kwanza kabla ya kulala hufanya nini na baada ya kuamka hufanya nn na kwann wafanya hvyo.

Ukishaweza kufanya hvyo ndio utajua upumbavu Ni upi!!!!
 
Tatzo akili yako imezoea kulaumu wengne kwa uzembe wako
IMG-20190524-WA0005.jpeg
 
Hii nayo ni thread?
Kwanini wakat mwingne usikae kimya tu ukasoma mawazo ya wenzako kuliko kuandika pumba?

Pale ambapo umefika form four na kujaribu kukosoa kila mtu, hata wewe una uhuru wa kuandika mitazamo yako..
 
Sometimes nawaza kuwa huenda hii ndio sababu ya kijana kuachwa atambe anavyotaka kwa kufanya kila aina ya vituko na mambo mengine yasiyoendana kabisa na maadili ya kazi yake pasipo kuguswa na aliemuweka hapo alipo.

Waganga wanasemekana kutoa mashariti ya ajabu ajabu sana na ambayo kuyakubali yataka moyo kwani mengine huifanya hata jamii inayokuzunguka kubaki inakushangaa kama ambavyo wote tunamshangaa Bashite na Baba yake katika hili hivyo huenda hata katika hawa wawili mganga anahusika.

Kwa mfano,tunasikia kuna wanaopewa mashariti ya kutokuoa,wengine kutovaa viatu,kuwafanya wanao mazezeta,n.k mradi tu ni mashariti ya ajabu ajabu ambayo kuyakubali yataka moyo na ambayo ukija kuyakiuka,basi kila kitu kinakuharibikia.

Naomba niishie hapa.
ulichoandika sina uhakika nacho ila kuhusu waganga kuwa na masharti magumu na ya ajab hilo nina uhakika nalo,niliwah kwenda kwa Mganga fulan Njombe kijiji flan kinaitwa Maholong'wa yule mzee alinipa mashart ya ajabu mojawapo ni kutozungumza na ndugu wa kuzaliwa nao tumbo, aisee ulikuwa mtihani maana kwa wakat huo bado nilikuwa nakaa home pale Mfyome/iringa na pale home nilikuwa nina dada zangu wawili wazungumzaji balaa.... nilipoludi nyumbani haikuchukua hata masaa matano kwa kasheshe za wale dada zangu nilijikuta nimevunja masharti maana kuna jambo walifanya pale nyumbani likanikela sana nikajikuta nawafokea.......Katika maisha yangu nikihesabu waganga niliwatembelea kwa shida mbalimbali tokea 1980'-2010 ninaoweza kukumbuka kwa haraka ni zaidi ya 18 na wote mashart yao yalikuwa pasua kichwa
 
Asante kwa ushuhuda huu mkuu.
 
Hivi unajiulizaje mambo ambayo huwezi kupata jawabu? Acha nikusaidie hivi "ni kweli" na huyo mganga yupo huku.
 
Back
Top Bottom