naww comfortably unajishauri utoe jina kwamba ww ni bora sana kuliko huyo aliyeotesha mbegu zake,inshort alikuficha akijua mzazi mwenzie atampenda zaidi lakini kaambulia patupu ndo anatafuta zombie wa kumshikisha majukumu we shangaa shangaa mjini hapa.
umemwaga mboga then unarudi hapo hapo kumwaga ugali,ukizalishwa tulia jipange upya sio unakurupuka kurupuka kama huyu dada kashindwa kujiheshimu kapewa mimba na mtu mwingine then anakumbuka shuka pamekucha.Inshort ajaribu mahali pengine