Inawezekana kweli?

Pole Sana dear..amua tu kumsahau na yataisha..maisha lazima yaendelee
 

‘atakayeingia anga zako ndiye atakayeumia’
usilipize visasi boss! Love is a beautiful thing naamini tunapitia maumivu ili tuwe imara zaidi
 

Unesema kweli Brad kuhusu kuwa chanzo cha ndoa kuvunjika maana watu wengi wanakuwa hawakumove on au uchungu haukuwaisha, so anaoa/kuolewa kutafuta peace of mind while piece if him/her is with someone else! So sad
 
Yan nd maana siku hz ht kuish na mwanamke naogopa...!!maana mimi mwenyew nna Ex ht nmtukane vipi atanitfta tu...!!

Watu wengi huolewa kwa ajili ya maslah na umri ila mioyon mwao wanajua wenyew....!!asa ukute mume una kitambi Ex wake flat...!!nyumba yako...lkn atakuona kama mpangaji
Unesema kweli Brad kuhusu kuwa chanzo cha ndoa kuvunjika maana watu wengi wanakuwa hawakumove on au uchungu haukuwaisha, so anaoa/kuolewa kutafuta peace of mind while piece if him/her is with someone else! So sad
 
Kumbe ww ni ke ngj nifute comment
 
Kuna mwanamke nliyempenda sana na tumeishi miaka mitano sasa,tumezaa mtoto wa kiume,,ana miaka minne,,kiukweli amenichanganya sana baada ya yeye kupata kazi benk,siku hizi hapokei hata simu yangu,,tunakaa mbali mbali kidogo mkoa na wilaya...yeye yuko mkoani mimi niko wilayani..kwa kweli amekuwa mwiba na tangu mwez wa kwanza mwaka huu mpka sasa hataki mawasiliano....nimelia,nimegaragara hajanielewa...kwa kweli nlikutana na mkenya mwenzangu aliyeteswa na mapenzi kama mimi,,akanishaur kuhusu sigara.....nikaachana na pombe now navuta sigara na najiona mwenye nafuu,,nmeweza kumsahau kwa habar ya mapenzi..sigara imekuwa mbadala wake...sikuwahi kuwaza kuvuta embassy ila kanivutisha....usilaumu mtu kilevi atumiacho au starehe anazofanya maana huwez jua anapitia yapi....nampenda sana ila niko tayar asepe sasa..moyo umekubali
 

I feel you bro! Pole sana, sikujudge ila ungetafuta mbadala mwingine kama kuwa mtu wa ibada! Mfano mimi ilinibidi niokoke muda mwingi nilikuwa na sali hasa na kwenda kanisani, nikajifunza mengi! Nikajua kwanza nilikuwa mkosa kwahiyo nalipia gharama ya dhambi nilizozifanya labda. Yan nikapata sababu za kunisaidia kukubaliana na hali, na hapo ni baada ya kujaribu hata kuongea na wanasaikolojia! Nakushauri jikite na masuala ya kiroho zaidi!
Ila mwisho wa siku wazungu wanasema ‘the heart wants what it wants’
 

Oh sijui itakuaje! Mungu atusaidie tuishie na tunaowapenda kweli licha ya kupitia maumivu kwa sasa.
 
Hahahaaa Mungu atajalia tu ndugu...!!ndo maana single mothers wapo wengi....reason ndo hyo...!!maEx
Oh sijui itakuaje! Mungu atusaidie tuishie na tunaowapenda kweli licha ya kupitia maumivu kwa sasa.
 
Oa mkuu
Acha kukimbia majukumu
 
Skiliza wimbo wa leona Lewis - better in time ukiwa na safari lager . Bonge la kiburudisho kwa watanzania
 
Mkuu nashukur nlijarib hayo ila nikawa silali,sili,yaani nmepungua mwili mpka kazin wananishangaa nawaambia tuu ninmambo ya diet lkn kiukwel nlikuwa kwenye mateso makubwa mno.baada ya kuishi kwa mateso huwez amin sigara imeniweka sawa......nalala kama pono..simuwazi tena....ila sigara hiz navuta usiku tuu na hakuna anayenijua zaid ya anayeniuzia....
 
‘atakayeingia anga zako ndiye atakayeumia’
usilipize visasi boss! Love is a beautiful thing naamini tunapitia maumivu ili tuwe imara zaidi

Sio kwa wanawake wa kibongo, nimejaribu nimeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…