Inawezekana kweli?

Ee mkuu,ilibidi nirudi kwa Mungu kwa namna yoyote ile aninasue kwenye lile janga
Mwenzako amekaa kwenye uhusiano miaka 6 bila shaka walipitia mengi sana samahan kwa hili swali wewe na mwenzako mlikaa pamoja kwa muda gan
 
Me nishawah pitia heartbreak flan ambayo Mimi kwa kweli naishukuru kwamb imetokea kwa wakat ule maan imenifanya nkawa matured,, Yan heartbreak inatakiwa itokee mara moja tu ili ukufunze kwamba mapenz sio kitu cha kushobokea sanaa.. we ukiwa na mpenz wako mpend kwa kiasa anachokupenda ww na usijalii sanaaa ili usipate dissapointments kiufup know ur place in peoples life and never over play ur part maan ndo kitakachokuumiza!! Kwel nmesoma comments nashangaa mtu et kapat hearbreak more than once 😆😆 ukishapta ile ya kwanza unatakiwa ikufunze Kwelilkwel ili uspate ingn
 
Heri ingekuwa rahis hivyo..
 
Watu mnao umizwa na mahusiano nawashangaa sana mbona mimi nafurahia
 
Ila wanawake mna kazi sana......inakuwaje unampa mu moyo wako wote na akili yako yote .......Dah....Tangu nizaliwe sijawahi kuruhusu hii kitu...nafikiri ndiyo maana nimewaumiza ladies wengi
 
Pole na hongera kwa kuipita hiyo phase! Si mchezo mi natamani niamke it’s 2022 already! Iwe imebaki story! Na sio rahisi kumove on kama watu wanavoshauri ila kama ndo fate yangu sina namna
Jamaa akikuomba akurudie kwa sasa utafanyaje?
 
Kama unahitaji kuolewa njoo inbox itaishi kwa amani tele niamini mpnz
 
Hiyo paragraph ya mwisho nadhani umeamua kumtamanisha maisha mazuri tu. Mambo yangekuwa matamu kama hivyo kila mtu angetamani breakup ili afaidi maisha.
 
Mi ni ke boss

Ni mawazo yako tu, utakavyotaka ndivyo itakavyokuwa. Ukitaka usimsahau hutamsahau, ila ukitaka kumsahau ni dakika moja. Ila mna tatizo kubwa la msingi ilikuwaje mkakaa miaka sita bila ndoa? mnabutuana tu, sometimes ni sawa tu kuachana kwa hali hiyo. Kwa upande wangu Nimeshajeruhiwa mara kadhaa tena hadi kulia machozi mwanaume mzima, lakini siku nilipojitambua nilijiona fala sana. Sasa hivi sisumbuliwi na mahusiano hata kidogo, sana sana atakayeingia anga zangu ndiye atakayelia. Nimejifunza kwenye mahusiano ni kama vita, either ushindwe au ushinde. nimebaki na kanuni moja, "If you think you cannot eat a lion do not think that a lion will not eat you".
 
Nanukuu....ukimpata mtu sahihi utamsahau...!!

But tatzo ni kuwa watu sahihi siku hizi hakuna

So kama wataka furaha kweli anza kwa kuitafuta wew mwenyew....jiweke bize...!!nenda out na marafiki...!!jiweke mbali na mazingra ya huzun au ytakaykukumbusha ya nyuma

Ila ni ngumu saana kumsahau mtu uliyempenda...!!ni ngumu saana....!!na ndo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika siku hizi
 
Kuwa makini sana na mahusiano ya haraka kipindi hiki. Maana nafsi yako itaona kama unapata tulizo la moyo, ila kiuhalisia unaweza kiwa ndio unaenda pabaya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…