Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 392
- 896
- Thread starter
-
- #21
Nimewahi kupitia unayopitia na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuijua JF kwasababu katika kugoogle namna ya kusahau mtu nikaletwa huku JF
Nilikuwa natamani kulia lakini machozi hayaji
Appetite ikapotea
Nikapiga hata simu nyumbani kuomba kughairisha mwaka manake nilijiona hata darasani hakieleweki
Nikaweka uzi humu wa kuomba msaada wa namna ya kumsahau ambapo kimsingi nilipata mawazo kadhaa ambayo yalinisaidia kiasi chake
Kimsingi kilichonisaidia kupotezea ni baada ya kuweka mbele mambo ya msingi zaidi katika maisha yangu,nikaanza kutumia muda wangu mwingi kusoma sana kwasababu ndio kilinipeleka kule
Nikaanza kufikiria mtu nayempenda zaidi katika hii dunia ambaye ni baba yangu,nikaanza kuwasiliana nae sanaaaaaa
Nikaanza kwenda kanisani siku za jumapili na jumamosi kufanya usafi
Jitahidi kuwa busy na mambo yako,hayo unayopitia sasa hayatakuwa hivyo milele....pole,pambana
Soma nilichoandika na ukielewe, usikurupuke.inaweza ikawa anamishe za msingi kuliko wewe negativity
Kwahiyo unamshauri aendelee kuwaza maana ni part pia?Haha si kweli! Kila kitu kina part yake maisha boss
Kama ilivo kwenye maisha kuna kupata na kukosa haijalishi ni kiasi gani hiko kitu ulikihitaji na ndivo yalivo mapenzi. Sio kila unalolitegemea litokee huja kama ulivopanga. Likija kinyume hutokea maumivu. Lakini kama kwenye maisha hutokea kupoteza either mzazi mmoja na kukubaliana na hio hali na maisha yakaendelea. kwann kwenye mapenzi ushindwe. Hivo cha kwanza ni wewe KUKUBALIANA na hio hali kua umeachwa na kua unaweza kuishi bila yeye. Wanasemaga pia MUDA NI TABIBU WA KWELI. Jipe muda tu itafika kipindi utasahau maumivu yote na maisha yataendelea.ni hayo tu
Wako kilaza
Kwanza jitahidi uitambue thamani yako,hakuna haja ya kujishusha sana kuyabembeleza mahusiano yaliyokwisha yatakutesa,
Jitahidi kutingwa na vitu vingine kama kazi na marafiki au kutembelea sehemu unazozipenda wewe sio mlizokua mnaenda wote.
Usiingie kwenye mahusiano mengine kwa pupa au kulipiza kisasi yatakuchanganya zaidi.
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho,kama uliweza kuacha titi la mama yako sembuse mwanaume tu asiyekuthamini?Mbona wapo wengi sana au ya kwake ilikua ya dhahabu inakojoa vanilla na chocolate? Muwe mnayapitia na matokeo ya sensa ya taifa maana unavyolalamika utafikiri mlikua wawili tu kisiwani.
Maji yakimwagika unayapigia deki kama ni kwenye simenti au vigae lakini chini na we unayapiga chini.
Huwezi jua,dhahabu ili ing'ae inapitishwa kwenye moto labda Mungu amekuandalia mzuri zaidi na ndoa juu.Hahaha yani mtu ukimchukulia kama kila kitu (rafiki, kaka, mpenzi) alafu ukampoteza inauma sana! Ngoja nami niyapige chini hayo maji maana yamemwagika mchangani
They say it takes half the time you dated to move on. Kama ulidate miaka 6 itakuchukua miaka 3 kumsahau huyo jamaa.
Anyways binafsi nishawahi kupitia mvunjiko moyo mara kadhaa ila mara ya mwisho ilikua balaa . Ila kumbuka mda ndio daktari wa ukweli. Mean time jaribu kufanya changes kadhaa ili uyaone maisha yako yanebadilika yani unahitaji maisha mapya ili uweze kusahau ya zamani. Hama mji unaoishi kama huwezi hama mtaa/ nyumba etc. Tafuta hobby mpya. Kama ulikua hufanyi mazoezi/ jogging anza, join gym nisehemu nzuri kukutana na watu wapya. Ila usianze drugs/ alcohol kwa wakati huu utapotea unless ni mtumiaji wa muda.
Yani became a new person, dress well, eat really good,work out, look good, smell good, start a new business, try to gain your self esteem back finally bila kujua one day utaamka asubuhi life will feel good again n utakua ushamove on.
All the best!
Huwezi jua,dhahabu ili ing'ae inapitishwa kwenye moto labda Mungu amekuandalia mzuri zaidi na ndoa juu.
Leo nimepokea msg kutoka kwa mdada niliyemzingua yapata miaka 2 iliyopita kiukweli alizama na mimi nilimtamani tu baada ya kumuacha yule binti nkajua ashasahau na kusamehe lakini juzi ndo nkapokea Ujumbe toka kwake akielezea namna gani nilimuumiza kiukweli ilibidi nimuombee msamaha na kiukweli nimejisikia vibaya sana.. Pole sana dada yatakwisha tu
Jambo sahihi ni kutulia na kujifanya huna haja na mapenzi, acha yachipue upya kwa mtu sahihi kwa wakati wake
Basi kwanza badili hilo jina,unamjua vzr Tbug?Mi ni ke boss