Inawezekana kuscan document alafu ukaiedit???

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali
 
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali

Inawezekana kama wakati wa kuscan au baada ya kuscan utasave scanned document yako kwenda .TIFF .JPG .PNG format. Kisha utatafuta OCR (Optical Character Recognition) software ambayo itabadili herufi za picture format kuwa Typed document.
Software kama Microsoft Office Document Imaging itakusaidia kuweza kufanya kazi yako kirahisi. Kikubwa hakikisha document unayoiscan inaonekana vizuri.
 

Nashukuru sana mkuu ngoja nifanye mpango wa hiyo program
 
Unataka kufoji document mkuu? Lol
 
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali

Iscan katika document format (mf pdf), kasha ukimaliza convert to word. Ikishakua katika word format unaweza ukaedit

NB:Itegemea na aina ya document yako
 
Inawezekana na ni rahisi sana scan hiyo document Kama jpg baada ya kuisave nenda open with paint ni rahisi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…