Inawezekana kununulia binti yako chupi?

Inawezekana kununulia binti yako chupi?

Habar zenu wanajukwaa,
Kwa mfano una watoto wawili mapacha wa kike na kiume, wote wamefika miaka 17.
Umepita dukani ukaamua kuwanunulia chupi,
WA kiume umemchukulia boksa, je wakike nae utamnunulia?
Kama hutomnunulia kwa nini?
Wakati wote ni wa kwako.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiambiwa unamtaka mwanao utasemaje kwanini usimpe hiyo pesa akajinunulie mahitaji yake au umpe mama yake.
 
Habar zenu wanajukwaa,
Kwa mfano una watoto wawili mapacha wa kike na kiume, wote wamefika miaka 17.
Umepita dukani ukaamua kuwanunulia chupi,
WA kiume umemchukulia boksa, je wakike nae utamnunulia?
Kama hutomnunulia kwa nini?
Wakati wote ni wa kwako.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mpumbavu unamnunuliaje mtu mzima miaka 17 nguo za ndani wape fedha wanunue wenyewe
Chupi mnunulie mkeo
Bila shaka wewe una uchu na binti wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
binti wa kike ana mama yake

kama hayupo unampa pesa akajinunulie mwenyewe mavaz yake huyo wa kiume ndo unamnunulia au na yy unampa pesa akajinunulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom