Kauli za Donald Trump kuhusu mazungumzo kati ya Marekani na Iran zinaonekana kuwa na ukweli fulani, lakini ndani yake kuna muktadha mpana unaohusisha mgawanyiko wa madaraka ndani ya Iran yenyewe.
Nchi hiyo haionekani tena kuwa na msimamo mmoja, hasa kutokana na ushawishi mkubwa wa Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), ambayo ina msimamo mkali wa kiitikadi na inaonekana kupinga juhudi za maelewano.
Wakati IRGC ikitangaza hatua kama kufunga Strait of Hormuz, taarifa zinasema kuwa Marekani inaendelea na mazungumzo ya siri na baadhi ya wawakilishi wa Iran huko Pakistan, ikijaribu kulipita jeshi hilo na kushirikiana na upande wa pili kwa njia za kidiplomasia.
Hali hii inameanza kuashiria mabadiliko ya kimamlaka ndani ya Iran, ambapo ushawishi wa IRGC unajaribiwa kupunguzwa kwa njia za kidiplomasia na kimkakati kwa Siri.
Mustakabali wake unaweza kwenda njia mbili: aidha IRGC ikubali shinikizo na kulegeza msimamo yake ya itikadi kali, jambo au ibaki na msimamo mkali na hata kusababisha mgogoro wa ndani wa madaraka. Kwa vyovyote vile, kipindi hiki ni nyeti sana kwa Iran.
Time will tell.