pakua vidcon app ichukulie onhax.net ambayo ipo unlocked
Mkuu, Juzi My Bro Kanitumia Link Ya Kudownload Whatsap Blue, Nikaifata Nikaidownload Ila Nikitaka Kuiopen Inaniambia Sttng Time & Date Nikiset Inagoma, Nikamuuliza My bro Yy Anatumiaje? Akasema Niset Time Ya Dubai Maana Yeye Yupo Dubai Na Anaitumia Vizur Tuuu Nikaset Lakin Wapi!! Imegoma...Tatizo Nn Hapa??simu gani? os gani? unategemea kuedit video aina gani? resolution ipi?
Wadau, mnaoanisha vipi picha na sauti nikimaanisha labda kama wanavyofanya kwenye videos hizi za music mtu anachukuliwa peke ake then baadae inaenda kufanyiwa editing na kuwekwa sauti ya wimbo husika.
Au editing mnayosema ni ya kuunganisha hivyo vipande mlivyo-shoot na kuviunga unga tu, hebu nielewesheni hapo sijawapata aisee.
Cc mkali wao
Mkuu, Juzi My Bro Kanitumia Link Ya Kudownload Whatsap Blue, Nikaifata Nikaidownload Ila Nikitaka Kuiopen Inaniambia Sttng Time & Date Nikiset Inagoma, Nikamuuliza My bro Yy Anatumiaje? Akasema Niset Time Ya Dubai Maana Yeye Yupo Dubai Na Anaitumia Vizur Tuuu Nikaset Lakin Wapi!! Imegoma...Tatizo Nn Hapa??
So Nafanyaje?? Alafu Yy Yake Inakua Ya Rangi Ya Blue Kabisa Si Kma Hii Ya Playstore.Labda ni version ya zamani sana certificate ime expire
Kama hiyo app ya "videoshow" unaeza kufanya yafuatayo....
1. Kuunganisha vipande vya video au picha
2. Kutoa sauti ya video na kuweka audio unayotaka wewe (kama vile wanavyofanya kwny music video)
3. Kupeleka video fasta au taratibu (slow motion)
4. Kutoa sauti ya video na kuingiza sauti yako (kama vile wanavyofanya kwenye vipindi vya tv)
5. Kupunguza urefu wa video
6. Kuweka subtitle na maandishi mengine
7. Effect mbalimbali.... n.k
Yaani inshort kika unachokijua ww kuhusiana na kuedit vdeo basi kwenye app hiyo utakikuta... Kazi ni kwako tu,uwe mtundu wa kuitumia
Ndio unatakiwa utafute latest version kwenye official website yaoSo Nafanyaje?? Alafu Yy Yake Inakua Ya Rangi Ya Blue Kabisa Si Kma Hii Ya Playstore.
Vipi na color correction unaweza fanya pia?Kama hiyo app ya "videoshow" unaeza kufanya yafuatayo....
1. Kuunganisha vipande vya video au picha
2. Kutoa sauti ya video na kuweka audio unayotaka wewe (kama vile wanavyofanya kwny music video)
3. Kupeleka video fasta au taratibu (slow motion)
4. Kutoa sauti ya video na kuingiza sauti yako (kama vile wanavyofanya kwenye vipindi vya tv)
5. Kupunguza urefu wa video
6. Kuweka subtitle na maandishi mengine
7. Effect mbalimbali.... n.k
Yaani inshort kika unachokijua ww kuhusiana na kuedit vdeo basi kwenye app hiyo utakikuta... Kazi ni kwako tu,uwe mtundu wa kuitumia
Vipi na color correction unaweza fanya pia?