Inawezekana Hatumuelewi Rais Dkt. Magufuli

Umewashtua mkuu
"Sikio la kufa halisikii dawa" walinena wahenga. Tamko la UKUTA lisingekuwepo kwani limesukumwa na mihemko ya kisiasa ati hakuna demokrasia wakati wakiyasema hayo wako huru kabisa.

Mleta mada si tu kaamsha fikra za wanajamvi; ambao wengi wamejikita kujadili maneno kwenye hotuba za Rais, badala ya mahudhui ya hotuba hizo.

Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa ya mwanasiasa ambaye ni mwanasayansi, tena mkemia mwenye shahada ya uzamivu, na mwanasiasa mwenye shahada ya sayansi ya siasa.
 
Amani iwe kwenu!

Nimejaribu kutafakari kidogo juu ya kauli kadhaa za rais wetu akiwa katika baadhi ya ziara na kubaini kitu..
1. Inawezekana kauli tata za mh. ni za makusudi na zinalengo la kubadili sura nzima ya siasa tulizozoea..Hii nikiwa na maana kwamba wakati tukiwa bize kujadili kauli tata hizo teyari yeye anapata mwanya wa kufanya mambo ya msingi ambayo anatarajia kuyafanya!Ni kama unaweka nyama na wakati huo huo unampigia mluzi mbwa..lazima aweweseke!

2.Kauli zake nyingi pia zina vichekesho na mikwara mingi..Hii mikwara inaweza kuwa na lengo la kuwaweka sawa watendaji au watu waovu!Kwa jinsi navyoona haya yote anayafanya makusudi kwa kuamini kwamba meseji zinafika na watu wanamsikiliza neno kwa neno!

3.Kwa kuzingatia kuwa watanzania na wanasiasa ni watu wa porojo na propaganda basi naona anacheza kama pele kwenye hili na wanasiasa wengi hawajamstukia!Vyama vya upinzania visipokuwa makini vitabaki kujadili hotuba zake badala ya kujikita kwenye main agenda za vyama vyao..

4.Pia muheshimiwa kuna wakati kwenye hotuba mambo ya sirini huyaweka wazi wazi..Nahisi anafanya makusudi kuwa hata wale wanaofanya maovu na kusitiriwa kisiasa basi kuna siku watawekwa hadharani..amefanya watu wa deal na wala rushwa kubwa kuwa waangalifu maana kuna siku wanaweza kusemwa hadharani..Miaka ya nyuma hatukuzoea hii na tunaona kama wanadhalilishwa..

5.Tukumbuke rais wetu ni msomi wa Phd na si bure lazima huwa anajitafakari baada ya hotuba zake lakini pamoja na hilo bado wimbi la kauli tata linaendelea na bila shaka ni makusudi kwa lengo maalum kwa kuzingatia aina za siasa tulizozoea..Yaani huwa anapiga pale pale tunapoona amekosea au atakosea na mbaya zaidi huwa haachi kurudia pale anapoona watu wamekwazika!

Kitu ninachokiona ni kuwa rais anataka kututoa kwenye aina za siasa tulizozoea,yaani analeta a new era of politics!Wito wangu kwa viongozi wa upinzani na wanaharakati kama kweli mnataka kuisaidia hii nchi mjikite kwenye ajenda zenu na si hotuba zake kwa vipande hasa vyenye utata!Atawapoteza na wakati huo huo yeye anaendelea kuchanja mbuga kisiasa na kwenye ajenda zake..In short I can call him as a game changer and a smart president..
Huyu jamaaaa kaandika Ujumbe mrefu lakini nimeambulia patupu
 
Chadema wajifunze kitu..baada ya miaka mi5 wataulizwa wamefanya nini majimboni na ndio maana Zitto leo yuko bize na madiwani wake Kigoma na hana muda wa kudeal na hotuba za rais maana kashtuka.

..kweli cdm siku za karibuni wameelekeza focus kubwa kwenye UKUTA.

..wanatakiwa wasijisahau ktk kutekeleza ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi.

..lingine ni kwamba Raisi ameamua kutumia vyombo vya dola dhidi ya wote wanaounga mkono vyama vya upinzani. Hili ni tatizo kubwa na kikwazo kwa ustawi wa vyama vya upinzani nchini.
 
AAmfahamu ili iweje? Ni mwana historia yeye? Anaifahamu chemistry yenye formular siyo hizo variables za kila baada ya uchaguzi kuja na nominal nyingine!
Chemistry ipi? Unajua chemistry wewe?
 
[QUOTE="Ame, post: 17477588, member: ....

Ila si kosa pia pale ambapo wale ambao wana moral authority wakamsaidia Mh. Rais kupunguza extrimity.

Social capital inajengwa na haiwezekani mpaka pale kuwe na penalties zitakazo lazimisha tabia hiyo kujijenga...ndicho anachofanya Mh.Rais...[/QUOTE]

Ame: nimenukuu machache katika bandiko lako hasa kugusia uhusiano wa "moral authority (mamlaka ya kimaadili) ili kujenga "moral responsibility" (jukumu la kimaadili) na "social reponsibility (wajibu wa kijamii) ili kujenga "social capital (mtaji wa kijamii).

Dhana hizo mbili (moral and social respobsibility) ni muhimu kujua jinsi zinavyohusiana kujenga jamii moja kwa mustakabali wa taifa kimaendeleo.

Kuwajibika kijamii na kimaadili ni wajibu wa kila raia. Crick (1998), kwenye utafiti wake kuhusu uhusiano wa dhana hizo mbili, anasema kwamba ujenzi wa uwajibikaji kijamii na kimaadili ni mahitaji ya awali ya uraia, ili kuweza kutambua matokeo na athari za vitendo hivi juu ya watu wengine.

Hivyo kuna haja ya kuwa na lengo la wazi sana katika kujenga na kukuza uwajibikaji kijamii na kimaadili, katika suala la kuheshimu haki za watu wengine na uhusiano kati ya mtu binafsi na jamii na katika vijana.

Elimu hiyo ni muhimu sana hasa wakati huu wa upana wa njia za mawasiliano na siasa za vyama vingi katika jamii iliyo maskini.

Vijana hasa wanapaswa kujifunza kuhusu maadili (moral values) ili waweze kukuza uwezo wao kuishi kimadili kuliko ilivyo sasa (baadhi ya 'posts' za vijana humu jamvini ni ushahidi tosha).

HIVYO BASI TWAWEZA KUJIULIZA NI NANI YUKO SAHIHI - RAIS AU WAPINZANI WAKE!
 
Hakuna ugumu wowote maana namba ziko na namba haziongopi. Wabunge wametembelea bandari Dar na kushangaa kuikuta empty na DG wa bandari kakubali kwamba hali ya bandari ni mbaya. Mahotel yanafungwa na kubadilishwa kuwa hostels. Wananchi wanalalamika hakuna pesa mtaani na maisha yamekuwa magumu. Wabunge wameiuliza TRA hayo makusanyo ya mapato yanayoongezeka kila mwezi yanatoka wapi wakati bandarini mizigo inayoingia bandarini imepungua sana? Tusubiri jibu la TRA kama wataamua kujibu.

Ni ngumu sana kufahya evalutaion au impact ya uongozi kwa kipindi cha mwaka..Lakini kuna baadhi ya vitu vimmeshafanywa na naamini soon serikali itwaeleza wananchi wake..
 
Ufafanuzi ulikuwa ni mwezi au mwezi na nusu
tunaingia mwezi wa tatu sasa hakuna kauli yoyote toka Serikalini kutufahamisha KULIKONI?

Suala la ajira kuchelewa nadhani lilitolewa ufafanuzi..Labda kama sikuelewa au hatutaki kuelewa!
 
Zitto kabwe ameshashtukia mchezo..ndio maana katulia kiasi na hata kama ni kumpinga ni kwa nadra sana..muda mwingi amejikita jimboni na madiwani wake!
Kuhusu zitto,usiongee maana kabanwa na wakati huo huo hataki kuoneka mbaya mbele ya ccm kwa kuenenda kinyume na mapenzi yao UNAJUA KWA NINI anamatarajio yake mbeleni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Game changer kwa siasa za Tanzania tulizozoea.Aliposema malumbano ya siasa ni hadi 2020, mwanzoni hatukumuelewa ila sasa anaeleweka kabisa.mikutano ya kisisasa isipopewa baraka na jeshi la polisi ni haramu,hata kama ni ya kamati tu.
Aliposema serikali inahamia Dodoma kabla ya 2020 hatukumuelewa lakini sasa tunamuelewa serikali itaanza kuhamia hapo baada tu ya shughuli za Bunge la mwezi huu.
Serikali yake ilipoamua kutotangaza live mijadara ya Bunge ,wapo watu waliona kama tatizo la muda,ila sasa tunamuelewa.
Aliposema pesa za serikali zinahifadhiwa kwenye benki ya biashara badala ya Benki kuu wapo waliona kama ni issue ndogo sasa anaeleweka vizuri hali ya benki za biashara wamestisha mikopo kwani hawana fedha.
Aliposema nchi ya viwanda hawakumuelewa sasa ni lazima wanafunzi wote wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma masomo ya sayansi.
Aliposema atamtumbua yeyote asie endana na kasi yake,wapo waliona kama tisha toto,ila sasa wanamuelewa kama gwiji wa kutumbua majibu.
Aliposema hajisikii kutembelea nchi za nje ili kubana matumizi walifikiri ni msaha ila sasa anaeleweka.
 
Amani iwe kwenu!

Nimejaribu kutafakari kidogo juu ya kauli kadhaa za rais wetu akiwa katika baadhi ya ziara na kubaini kitu..
1. Inawezekana kauli tata za mh. ni za makusudi na zinalengo la kubadili sura nzima ya siasa tulizozoea..Hii nikiwa na maana kwamba wakati tukiwa bize kujadili kauli tata hizo teyari yeye anapata mwanya wa kufanya mambo ya msingi ambayo anatarajia kuyafanya!Ni kama unaweka nyama na wakati huo huo unampigia mluzi mbwa..lazima aweweseke!

2.Kauli zake nyingi pia zina vichekesho na mikwara mingi..Hii mikwara inaweza kuwa na lengo la kuwaweka sawa watendaji au watu waovu!Kwa jinsi navyoona haya yote anayafanya makusudi kwa kuamini kwamba meseji zinafika na watu wanamsikiliza neno kwa neno!

3.Kwa kuzingatia kuwa watanzania na wanasiasa ni watu wa porojo na propaganda basi naona anacheza kama pele kwenye hili na wanasiasa wengi hawajamstukia!Vyama vya upinzania visipokuwa makini vitabaki kujadili hotuba zake badala ya kujikita kwenye main agenda za vyama vyao..

4.Pia muheshimiwa kuna wakati kwenye hotuba mambo ya sirini huyaweka wazi wazi..Nahisi anafanya makusudi kuwa hata wale wanaofanya maovu na kusitiriwa kisiasa basi kuna siku watawekwa hadharani..amefanya watu wa deal na wala rushwa kubwa kuwa waangalifu maana kuna siku wanaweza kusemwa hadharani..Miaka ya nyuma hatukuzoea hii na tunaona kama wanadhalilishwa..

5.Tukumbuke rais wetu ni msomi wa Phd na si bure lazima huwa anajitafakari baada ya hotuba zake lakini pamoja na hilo bado wimbi la kauli tata linaendelea na bila shaka ni makusudi kwa lengo maalum kwa kuzingatia aina za siasa tulizozoea..Yaani huwa anapiga pale pale tunapoona amekosea au atakosea na mbaya zaidi huwa haachi kurudia pale anapoona watu wamekwazika!

Kitu ninachokiona ni kuwa rais anataka kututoa kwenye aina za siasa tulizozoea,yaani analeta a new era of politics!Wito wangu kwa viongozi wa upinzani na wanaharakati kama kweli mnataka kuisaidia hii nchi mjikite kwenye ajenda zenu na si hotuba zake kwa vipande hasa vyenye utata!Atawapoteza na wakati huo huo yeye anaendelea kuchanja mbuga kisiasa na kwenye ajenda zake..In short I can call him as a game changer and a smart president..
Akili za mbali Sana hizi Upeo mdogo huwezi kung'amua... Watu wenye Upeo MKUBWA Kama wewe Nchi hii Mpo wachache Sana
 
Muda ndio msema kweli. Ngoja muda ufike tuone tulipofika.
 
"New era of politics" Really ? Sidhani,mbona analalamikiwa kuisigina katiba? Yaan ulete aina mpya ya siasa kwa kulalamikiwa kila kona? Sio kweli.

Labda uniambie anafanya makusudi ku EXERCISE TO THE FULLEST OF HIS POWERS ili kupelekea kelele ziongezeke hadi kutishia usalama wa taifa,ili watunga sera wakae kushinikiza UBADILISHWAJI WA KATIBA.

Mi binafsi najua raisi ni mtu aliesoma,na anauwezo mkubwa kutenda mambo,hivo haya anayo yafanya inawezekana kabisa ni kwa makusudi fulani,na ndio maana hachoki kutoa kauli ambazo ni za kufikirisha.

Eti pia anatoa hizo kauli ili wakati tuna zijadili yeye anaendelea kutekeleza sera zake,sio kweli.sababu watu wanaozijadili ni sisi huku mitandaoni na wala sio viongozi wa kisiasa.wao huzisikiliza na kuwaelekeza wachambuzi wao kutafsiri na nakutoa summary yake,mambo yao hayaendi kiswahili swahili.
Kama anasigina katiba mbona hamumpeleki mahakamani?
 
[QUOTE="Ame, post: 17477588, member: ....

Ila si kosa pia pale ambapo wale ambao wana moral authority wakamsaidia Mh. Rais kupunguza extrimity.

Social capital inajengwa na haiwezekani mpaka pale kuwe na penalties zitakazo lazimisha tabia hiyo kujijenga...ndicho anachofanya Mh.Rais...

Ame: nimenukuu machache katika bandiko lako hasa kugusia uhusiano wa "moral authority (mamlaka ya kimaadili) ili kujenga "moral responsibility" (jukumu la kimaadili) na "social reponsibility (wajibu wa kijamii) ili kujenga "social capital (mtaji wa kijamii).

Dhana hizo mbili (moral and social respobsibility) ni muhimu kujua jinsi zinavyohusiana kujenga jamii moja kwa mustakabali wa taifa kimaendeleo.

Kuwajibika kijamii na kimaadili ni wajibu wa kila raia. Crick (1998), kwenye utafiti wake kuhusu uhusiano wa dhana hizo mbili, anasema kwamba ujenzi wa uwajibikaji kijamii na kimaadili ni mahitaji ya awali ya uraia, ili kuweza kutambua matokeo na athari za vitendo hivi juu ya watu wengine.

Hivyo kuna haja ya kuwa na lengo la wazi sana katika kujenga na kukuza uwajibikaji kijamii na kimaadili, katika suala la kuheshimu haki za watu wengine na uhusiano kati ya mtu binafsi na jamii na katika vijana.

Elimu hiyo ni muhimu sana hasa wakati huu wa upana wa njia za mawasiliano na siasa za vyama vingi katika jamii iliyo maskini.

Vijana hasa wanapaswa kujifunza kuhusu maadili (moral values) ili waweze kukuza uwezo wao kuishi kimadili kuliko ilivyo sasa (baadhi ya 'posts' za vijana humu jamvini ni ushahidi tosha).

HIVYO BASI TWAWEZA KUJIULIZA NI NANI YUKO SAHIHI - RAIS AU WAPINZANI WAKE![/QUOTE]

Ahsante kwakuweka vizuri discussion ya social respnsibility na capital....nisingweza zaidi ya ulivyofanya.

Then, kuhusu yupi yupo right na wrong hakuna majibu ya moja kwa moja bali responsibility ni ya pande mbili kila mtu kwa nafasi yake. Kwa mfano; Mh. Rais anajukumu la msingi kuweka enforcement kwenye sheria zilizopo na kukazia zile legelege kwenye key issues ili kuongeza au kutoa incentives katika kujenga social responsibilities ambazo zitakuja kuwa social capital; amepewa dhamana hiyo na watanzania. Lakini pia viongozi wa wapinzani wengi wao wakubali kuwa wengine wapo implicated katika mambo fulani fulani ambayo kama kweli wanadhamira ya kujenga taifa lenye high social capital wangeachia nafasi zao kwakujiuzulu ili wale ambao hawajawa tainted wapate moral authority ya kunyooshea kidole waliopo kwenye madaraka. Hii tu ingetosha kufanya mageuzi makubwa kisiasa na hata wao ku clear conscious zao na kupata nafasi nyingine ya kusikilizwa kwakuwa wameonyesha kuwa responsible.

Tatizo tulilonalo ni kukosa haiba...hatuna aibu na tumeua dhamiri zetu. Na tunauthubutu wakukosoa mambo ambayo hata sisi hatukuwahi kuyaishi talk alone of kujaribu ku demonstrate kuwa ni watu wenye kutembea kwenye maneno yetu.

Hapo mimi naona ndiyo maana viongozi waliopo madarakani wanapata nguvu ya kufanya chochote kwakua hakuna mwenye moral authority ya kuwanyooshea kidole miongoni mwa waliopo mbele kukosoa
 
Back
Top Bottom