Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,789
- 24,377
Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao CCM inaweza kukosa kwa mfano Tarime Mjini, Tanga mjini na kwingineko
View: https://www.youtube.com/watch?v=SpHCTAw5xJw
View: https://www.youtube.com/watch?v=JFYTZch_C2w
View: https://www.youtube.com/watch?v=SpHCTAw5xJw
View: https://www.youtube.com/watch?v=JFYTZch_C2w