Inawezekana akapata mimba kwa namna hii?

Haihitaji sperms millions kutengeneza mimba n one sperm out of millions

Ungenawa kwanza kisha mkaendelea

Pull out method ts nat useful kihivyoooo
 
Unataamboko, post: 18808898, member: 58682"]Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
Kwanza kabisa nikwambie kiwa mimba hiyo ni yako 100% njia hiyo huwa inahitaji umakini wa hali ya juu sana kwa ulikisea kuitumia coz njia hiyo huwa inatakiwa ukisha piga bao tu usiingize tena hadi ukakojie ili kusafisha njia coz njia ni moja ya sperm na mkojo wa kawaida, so ulitakiwa ukisha piga bao uende kukojoa ili acid ya mkojo inaziua sperms then unarudi tena na ukipiga bao una enda kukojoa tena hivyo hivyo hapo utakuwa safe 100% ,

Lakin ukipiga bao then ukamwaga nje then ukarudisha tena uume ndani una 100% za kutungisha mimba coz kuna sperm huwa zinaendelea kutoka polepole baada ya zile za kwanza kutoka au kuruka,kuna zinazo toka polepole ndio hizo zilizo kuletea kijana ,hongera.[/QUOTE]
Asante mkuu, nimekuelewa sanaa
 
Unapokaribia kupiga bao huwa kuna ute mwepesi hutangulia ili kusafisha njia ya sperms zipite kwa urahisi. Huu ute uakuwa na mbegu chache ambazo zinakuwa hai na tayari kwa kurutubisha. Kama ulihisi unakaribia Kupizi tayari huo ute ulishatangulia na mimba tayari imepatikana.
Kujua kama ni yako basi Lea na uangalie muda. Usije kubebeshwa zigo lisilo lako. Huenda alipata kwa asiyempenda akaona aje kwako anayekupenda.
Asante mkuu kwa ushauri,
Kuhusu kunisingizia sina shakanae sababu yeye ndie aliesisitiza sana nisimkojolee ndani, na pia ckua na mpango wa kumwaga nje yeye ndie aliomba sababu alkua cku za hatari
 
Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
ulitakiwa usubiri walau masaa manne. hapo yale mabaki yalikuwa bado hai na ndiyo yaliyosababisha mimba.kama sikosei wanasayansi wanatuambia mbegu hizo huwa hai masaa 72 au 48 kutokana na jinsia, ila uwezo wa kujongea ni masaa 3.5 baada ya kukojoa, hazitakuwa na uwezo kuogelea kwa kasi ile ya mwanzo hivyo hazitafika kwenye yai. ila kwako wewe, ile ulipomaliza tu kuna mabaki yalikuwa kwenye mfereji, uliporudia tu yakatoka yote na ndiyo yaliyosababisha mimba. hata ivyo, acha uzinzi, uaneni ili mzae watoto ambao si wa nje ya ndoa na ninyi msiendelee kuzini. ni dhambi.
 
Haihitaji sperms millions kutengeneza mimba n one sperm out of millions

Ungenawa kwanza kisha mkaendelea

Pull out method ts nat useful kihivyoooo
Ckuwaza hilo kwa kweli maana cku akiwa danger hua natumia ndom, ila ilkua gemu ya kushtukiza na yeye ndio aliitaka, mpaka naingiza na yeye kuhisi nakaribia mlimani ndio akaomba nisimkojolee ndani. Na baada ya hy akadai yeye bado niendelee na gemu, ikanibidi tuu niendelee
 
1481442500473.jpg

Kumwaga nje kukitumika vizuri ufanisi wake ni mkubwa sana.

Kwa kesi yako ni kweli mimba inaweza kuingia, hivyo hiyo ni yako. Nchi yetu inafuata sera ya uzazi wa mpango hivyo ukienda hospitali za afya ya uzazi unaweza kusaidiwa.
 
ulitakiwa usubiri walau masaa manne. hapo yale mabaki yalikuwa bado hai na ndiyo yaliyosababisha mimba.kama sikosei wanasayansi wanatuambia mbegu hizo huwa hai masaa 72 au 48 kutokana na jinsia, ila uwezo wa kujongea ni masaa 3.5 baada ya kukojoa, hazitakuwa na uwezo kuogelea kwa kasi ile ya mwanzo hivyo hazitafika kwenye yai. ila kwako wewe, ile ulipomaliza tu kuna mabaki yalikuwa kwenye mfereji, uliporudia tu yakatoka yote na ndiyo yaliyosababisha mimba. hata ivyo, acha uzinzi, uaneni ili mzae watoto ambao si wa nje ya ndoa na ninyi msiendelee kuzini. ni dhambi.
Mhhhh "uaneni" au oaneni?
 
Ckuwaza hilo kwa kweli maana cku akiwa danger hua natumia ndom, ila ilkua gemu ya kushtukiza na yeye ndio aliitaka, mpaka naingiza na yeye kuhisi nakaribia mlimani ndio akaomba nisimkojolee ndani. Na baada ya hy akadai yeye bado niendelee na gemu, ikanibidi tuu niendelee
Bas Lea tu she is pregnant
 
Yako hiyo mkuu unajua ukimwaga nje inabidi uwe kama unakamua kabla ya kurudisha ndani hiyo ni yako ,
 
Inaezekana mbegu zilibaki kwenye uume ulipoingia tena zinapata chansi ya kupenya na kumbuka mimba huingia na mbegu moja tuu
 
ku'withdraw....kuna mikao yake dogo.....kifo cha mende mara nyingi mwili unakuzidia....
 
Back
Top Bottom