Inawezekana akapata mimba kwa namna hii?

Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,236
Points
2,000
Age
36
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,236 2,000
Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
 
Forensic Anthropologist

Forensic Anthropologist

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Messages
2,199
Points
2,000
Forensic Anthropologist

Forensic Anthropologist

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2015
2,199 2,000
Kuna kabao huwa kanachelewa kutoka baada ya bao kuu ukute ulikamalzia kwa ndani
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
7,589
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
7,589 2,000
Mkuu si rule out ni mimba, ila kisaikolojia huyo dada anajihisi labda tayari, may be kwa kuogopa kupata mimba, ana mipango mingine, hivyo anahofia mimba, itakatisha mambo yake,watu wa hivi hofu yao inaleta kisaikolojia symptoms za mimba .

Mkuu tumia Kinga siku nyingine, unaogopa mimba, huogopi maradhi?
 
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,236
Points
2,000
Age
36
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,236 2,000
actually mimba ni yako mkuu kwakuwa sperm zilizokuwa zimebaki zilitosha kabisa kurutubisha yai.kumbuka mbegu inayohitajika kwenye fertilization process ni moja kati ya mamilion
Asante mkuu kwa ushauri, nimekuelewa
 
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,236
Points
2,000
Age
36
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,236 2,000
Mkuu si rule out ni mimba, ila kisaikolojia huyo dada anajihisi labda tayari, may be kwa kuogopa kupata mimba, ana mipango mingine, hivyo anahofia mimba, itakatisha mambo yake,watu wa hivi hofu yao inaleta kisaikolojia symptoms za mimba .

Mkuu tumia Kinga siku nyingine, unaogopa mimba, huogopi maradhi?
Ni kweli ana hofu sana,
Kuhusu maradhi tumepima
 
Kkimondoa

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Messages
4,473
Points
2,000
Kkimondoa

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined May 31, 2014
4,473 2,000
Unataamboko, post: 18808898, member: 58682"]Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.[/QUOTE]
Kwanza kabisa nikwambie kiwa mimba hiyo ni yako 100% njia hiyo huwa inahitaji umakini wa hali ya juu sana kwa ulikisea kuitumia coz njia hiyo huwa inatakiwa ukisha piga bao tu usiingize tena hadi ukakojie ili kusafisha njia coz njia ni moja ya sperm na mkojo wa kawaida, so ulitakiwa ukisha piga bao uende kukojoa ili acid ya mkojo inaziua sperms then unarudi tena na ukipiga bao una enda kukojoa tena hivyo hivyo hapo utakuwa safe 100% ,

Lakin ukipiga bao then ukamwaga nje then ukarudisha tena uume ndani una 100% za kutungisha mimba coz kuna sperm huwa zinaendelea kutoka polepole baada ya zile za kwanza kutoka au kuruka,kuna zinazo toka polepole ndio hizo zilizo kuletea kijana ,hongera.
 
Kkimondoa

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Messages
4,473
Points
2,000
Kkimondoa

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined May 31, 2014
4,473 2,000
Habari wakuu,
Nilikutana kimwili na binti ambae nipo na mahusiano nae, sasa wakati tunaendelea kufanya akawa ananisihi sana nisimwagia ndani sababu alikua kwenye siku za hatari, nilipokaribia kumwaga nikatoa nkamwaga nje, baada ya sekunde kadhaa nikarudisha ndani nikaendelea na shughuli ila sikumwaga tena,
Sasa baada ya wiki 2 ananiambia hajiskii vizuri, jana nikampa kipimo kile cha UPT na majibu ana mimba,
Naomba kujua inawezekana mwanamke akapata mimba hata kama mbegu zikiwa kitone?
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.
Msaada kwa hili tafadhali kwenu wataalam wa jf.[/QUOTE]
Kwanza kabisa nikwambie kuwa mimba hiyo ni yako 100% njia hiyo huwa inahitaji umakini wa hali ya juu sana kwanza ulikosea kuitumia coz njia hiyo huwa inatakiwa ukisha piga bao tu usiingize tena hadi ukakojoe ili kusafisha njia coz njia ni moja ya sperm na mkojo wa kawaida, so ulitakiwa ukisha piga bao uende kukojoa ili acid ya mkojo inaziua sperms then unarudi tena na ukipiga bao una enda kukojoa tena hivyo hivyo hapo utakuwa safe 100% ,

Lakin ukipiga bao then ukamwaga nje then ukarudisha tena uume ndani una 100% za kutungisha mimba coz kuna sperm huwa zinaendelea kutoka polepole baada ya zile za kwanza kutoka au kuruka,kuna zinazo toka polepole ndio hizo zilizo kuletea kijana ,hongera kwa maandalizi mema ya kumpata kijana .

Lakin pia tone moja tu lina mbegu zaid ya 50,000 hivyo hata kakiwa kadogo vipi kama mbegu nying sana ndani yake
 
Jabman

Jabman

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
1,017
Points
2,000
Age
42
Jabman

Jabman

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2016
1,017 2,000
Unapokaribia kupiga bao huwa kuna ute mwepesi hutangulia ili kusafisha njia ya sperms zipite kwa urahisi. Huu ute uakuwa na mbegu chache ambazo zinakuwa hai na tayari kwa kurutubisha. Kama ulihisi unakaribia Kupizi tayari huo ute ulishatangulia na mimba tayari imepatikana.
Kujua kama ni yako basi Lea na uangalie muda. Usije kubebeshwa zigo lisilo lako. Huenda alipata kwa asiyempenda akaona aje kwako anayekupenda.
 
Forum statistics

Threads 1,283,910
Members 493,869
Posts 30,805,795
Top