Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 557
ukikosa mkopo unakuwa na mawazo ya ajabu kweli.
Salamu ndugu zangu!
Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika.
Swali: ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto/watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au mtoto mmoja wapo auawe na wawili mpone utachagua nani kumtoa sadaka; mme au mtoto?
Nawasilisha!
Is it 28 yrs old au nimeona vby ni 08???