Inawahusu wote waliozaliwa...

Nimpe moyo kwakipi?

Kwanini hakudai kupewa moyo kabla sijazaliwa?

Hahahhh kwani wewe uliwekeana mkataba na wazazi wako kwamba wakulee.?.
Na ungewezaje kujua chochote kabla hujazaliwa!?
 
Hahahahh utaombaje ushauri kwenye mambo ya kutongoza..
Na mfano wasinge kulea ungekuwa hivyo ulivyo?
Au mkuu we Hujazaliwa umezuka au?.
Maana mgumu kweli kuelewa, au ndo kuelewa sana huko.
 
Hahahahh utaombaje ushauri kwenye mambo ya kutongoza..
Na mfano wasinge kulea ungekuwa hivyo ulivyo?
Kwanini wasinilee?
Au mkuu we Hujazaliwa umezuka au?.
Nimezaliwa kwa sababu kuna mtu ambae alifikiri hivyo
Na alijua hiki anachokifanya ni lazima akilee

Na kukilea sio hisani ni lazima

Na hatakiwi kushukuriwa
Maana mgumu kweli kuelewa, au ndo kuelewa sana huko.
Ngumu kuelewa nini?
 
Na wasingenilea wangekiona cha moto

Unadhani kujua chochote kunanifaidisha nini mimi?

Kwahiyo unamaanisha nini kusema hawakukushirikisha wakati wanapanga kukuzaa!?
Maana hueleweki msimamo wako ni upi.
 
Kwanini wasinilee?

Nimezaliwa kwa sababu kuna mtu ambae alifikiri hivyo
Na alijua hiki anachokifanya ni lazima akilee

Na kukilea sio hisani ni lazima

Na hatakiwi kushukuriwa

Ngumu kuelewa nini?

Kwafano wasingekulea kwani ungewafanya nini..?
 
Kwahiyo unamaanisha nini kusema hawakukushirikisha wakati wanapanga kukuzaa!?
Nimesema hivyo ili ionekane kuwa wanahitaji hisani yangu kwenye malezi yao kwangu
Lakini hawajafanya hivyo

Kwanini unafikiri wanahitaji hisani yangu?
Maana hueleweki msimamo wako ni upi.
Kipi hujaelewa?

Maana isijekuwa wewe ndio huna uwezo wa kuelewa ndio unadhani sieleweki!
 
Kwafano wasingekulea kwani ungewafanya nini..?

Ambae angewafanya kinachowastahili sio mimi ni Mungu

Hata wewe usijidanganye kuwa kuwalea wanao [kama wapo] ni hisani

Ukiacha utaenda kula kibano tu

Kama hutaki kulea ni bora usizae!
 
Nimesema hivyo ili ionekane kuwa wanahitaji hisani yangu kwenye malezi yao kwangu
Lakini hawajafanya hivyo

Kwanini unafikiri wanahitaji hisani yangu?

Hee hisani yako kwao! Kwani wewe unawafanyia hisani ipi wazazi wako..
Mimi sijaongelea hicho..ndiomaana nasema hujanielewa..
Nilichoongea ni kuhusu KUHESHIMU, KUWAPENDA NA KUWATII wazazi..
Na pia KUSHUKURU kwa mema waliyokutendea.
sawa Eiyer
 
Last edited by a moderator:

Hapo ndipo kwenye tatizo

Mema gani?
Kwanini niwashukuru?
 
Ambae angewafanya kinachowastahili sio mimi ni Mungu

Hata wewe usijidanganye kuwa kuwalea wanao [kama wapo] ni hisani

Ukiacha utaenda kula kibano tu

Kama hutaki kulea ni bora usizae!

Aa mimi sina hata girlfriend ila hata nikiwa nae na tukawa na mtoto au watoto nitawalea sababu ni jukumu langu niliyetaka ni mimi..
Ila sio kwamba nitawadai wanishukuru eti nimewalea hapana..
Hio ni uamuzi wao wenyewe silazimishi mtu
 
Hapo ndipo kwenye tatizo

Mema gani?
Kwanini niwashukuru?

He kumbe hujatendewa jema ulivyo lelewa..
Kwahiyo unamaanisha walivyokulea sio jambo jema?.
Na kama sio jema basi hawajakutendea haki kukulea, ee wange kuacha tu ungefurahi..
Hahahahhh
 
Wale waliopandwa kama mchicha hapa hapawahusu.

Yaani unaupanda mchicha unauacha, unaenda kumwagilia maji mchicha wa mwenzio. Je mboga utatoa wapi?
Ikiwa mchicha ulio panda umedumaa, na umepata rangi ya yellow, ila wa mwenzio ulio umwagilia maji umekua green.
 
Sioni tofauti kati ya wazazi wangu na binadam wengine. Wote wanaitaji upendo sawa kutoka kwangu.
 
Sioni tofauti kati ya wazazi wangu na binadam wengine. Wote wanaitaji upendo sawa kutoka kwangu.

Ni kweli Somoe hata mimi nahitaji upendo kutoka kwako..
Hata me nina upendo kwako.
 
Last edited by a moderator:
Sina cha kuwalipa wazazi wangu zaidi ya kuwaombea dua;
"Ewe mola wangu wasamehe wazazi wangu na uwahurumie kama walivyonihurumia mimi nilipokuwa mdogo" Amin.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…