Inawahusu Wabunge Wote!.

Inawahusu Wabunge Wote!.

Ninakupongeza kwa ushauri mzuri wa kuboresha idara nyeti ya Usalama wa Taifa ila kuna jambo lingine dogo tu nataka kuongeza.Nashauri aidha Wabunge wetu au Tume ya Katiba Mpya wafikirie wazo la kuanzishwa kwa mashirika binafsi ya kishushu ili kutanua wigo mpana zaidi wa mambo ya kiusalama hapa Nchini.
Mkuu; hata mimi hili wazo wakati fulani limekuwa likinijia lakini kuna matatizo kadhaa yatakayojitokeza.

1.Mashirika haya yatakuwa yanaripoti kwa nani? Unaweza ukasema yatakuwa yanafanya kazi complimentary na polisi,TAKUKURU na TISS, lakini tatizo kubwa linaloonekana mpaka sasa si kwamba serikali inakuwa haina taarifa juu ya mambo bali inakuwa haiko tayari kutekeleza.Kwa mfano.Tunaweza tukasema serikali haikuwa na taarifa juu ya ufisadi wa Rada? au serikali haikuwa na taarifa juu ya Utoroswaji wa Twiga? Sasa hayo mashirika yanaweza yakawepo ila tatizo litakuja pale pale yatakuwa yanaripoti kwa nani?.

2. Mashirika hayo yatakuwa yanapata wapi fedha za kujiendesha? Kama ni serikalini; suala litakuwa linarudi kule kule tu na kama ni chanzo kingine kipi?
 
Nionavyo TISS inatakiwa iwe ni idara huru ambayo uteuzi wa viongozi utafanywa na kamati maalumu itakayoundwa na wabunge,Maofisa wa vyombo vingine vya ulinzi wa nchi labda ya kada nyingine kama itaonekana inafaa..
TISS kiwe chombo chenye mamlaka kamili ya kufanya utafiti,kushauri,kuimplement Tna kuchukua action inapobidi..
UWT usifanye kazi kwa kuangalia nafasi ya mtu as long shughuli zake hazitoki nje ya miiko ya kazi..
Nafasi za kujiunga ziwe wazi kwa kuzingatia vigezo vinavyotakiwa ila usahili,walioomba,waliopata,namna ya mafunzo na ethics zibaki under cover.
Mkuu kusema kweli hapa umetoa mwanga na muongozo mzuri. Ila kuhusu ku implement; Mimi nitofautiane nawe kidogo.Tukisema wawe wanaimplement, watakuwa wanaingila kazi za vyombo vingine kama polisi na mahakama, na kwa kuwa shughuli zake hufanyika kwa siri; hii inaweza kuleta hatari kubwa. Mimi nashauri Mkurugenzi mkuu ambaye anaweza kupitishwa na chombo maalum kama ulivyosema; Pia apewe malaka ya kutoa habari kwa wananchi kwa suala lolote ambalo watalifanyia uchunguzi,wakalithibitisha wakashauri na halikufanyiwa kazi bila sababu za msingi, na kwa kutofanyiwa kazi huko; kunahatarisha amani ya nchi. Hii itasaidia kuwapa wananchi nafasi sasa ya kushinikiza vyombo vingine vinavyopaswa kuchukua hatua ili kuinusuru hali kufanya hivyo, na hapo tutakuwa tumepata suluhisho la msingi.
 
Wakamate pia na kesi zao wawe na wanasheria wao wa kuzisimamia mahakamani.

Mafupa magumu kama mihadarati kuwe na special unit from within kama SWAT wao kukicha ni hiyo tu!!!!

Kuwe na utaratibu wa wananchi kutoa taarifa moja kwa moja kwao inaweza kurahisisha sana kupata habari za huku madongokuinama without contamination,mathalani mtandao au namba za simu
 
Mkuu kusema kweli hapa umetoa mwanga na muongozo mzuri. Ila kuhusu ku implement; Mimi nitofautiane nawe kidogo.Tukisema wawe wanaimplement, watakuwa wanaingila kazi za vyombo vingine kama polisi na mahakama, na kwa kuwa shughuli zake hufanyika kwa siri; hii inaweza kuleta hatari kubwa. Mimi nashauri Mkurugenzi mkuu ambaye anaweza kupitishwa na chombo maalum kama ulivyosema; Pia apewe malaka ya kutoa habari kwa wananchi kwa suala lolote ambalo watalifanyia uchunguzi,wakalithibitisha wakashauri na halikufanyiwa kazi bila sababu za msingi, na kwa kutofanyiwa kazi huko; kunahatarisha amani ya nchi. Hii itasaidia kuwapa wananchi nafasi sasa ya kushinikiza vyombo vingine vinavyopaswa kuchukua hatua ili kuinusuru hali kufanya hivyo, na hapo tutakuwa tumepata suluhisho la msingi.

Mkuunaomba kutofutiana kidogo hapo kwenye"implementation" mkurugenzi badala ya kutoa taarifa kwa wananchi yeye apewe mamlaka ya kuidhinisha kukamata kwa ushirikiano na IGP ili mkondo wa sheria ukae sawa

Taarifa kwa wananchi iwe periodical through a special bulletin kwa lugha ya Kiswahili na humo ndimo iwekwe dodoso ya wananchi kutoa maoni kama mrejesho
 
Kuwe na utaratibu wa wananchi kutoa taarifa moja kwa moja kwao inaweza kurahisisha sana kupata habari za huku madongokuinama without contamination,mathalani mtandao au namba za simu
Year! hii ni kweli mkuu. Kuwe hata na e-mail ambayo mtu akiona kitu kisichokuwa cha kawaida anaweza kuwastua. Hata mimi kwa mfano kuna mahali nilishawahi kuona kitu flani kisichokuwa cha kawaida, nikajiuliza nimjulishe nani? nikajiwa na wazo la kumwambia askari aliekuepo kituo cha karibu ;akaonekana kuchukulia poa, Na mimi nikaamua kuacha liwalo liwe.Haiingii akilini kusema kuwa eti mtu anapitisha kilo zaidi ya 100 za madawa ya kulevya uwanja wa ndege tuseme hakuna mtu mwenye habari!
 
Integrity,anonymity,trustworthiness! !!!!
Haya wananchi wakiyaona na kuyathibitisha wala hamna haja ya kutangaza zawadi za pesa kwa atakayetoa ushirikiano. Nani atakubali kuuza uhai wake kwa milion tano????? Kwa mtiririko wa matukio ya wiki hii ni dhahiri huku mitaani watu wanajua mambo mengi sana ila wamwambie nani na wanajua kibaka akikamatwa leo na kupigwa na wananchi kesho anarudi mtaani?????
 
Seem as kuna SWAT..Km ni mafuzo ya aina moja na tacticks za aina moja inakuwaje tunauwana...kuna special weapons labda...Najaribu kurefaa matukio kadhaa yaliyotokea karibuni...R.I.P Mrutu R,Peter Tyenyi na watakaofuata...
 
kwenye"implementation" mkurugenzi badala ya kutoa taarifa kwa wananchi yeye apewe mamlaka ya kuidhinisha kukamata kwa ushirikiano na IGP ili mkondo wa sheria ukae sawa
Mkuu kwa hili la ukamataji; mimi nadhani kutakuwa na muingiliano wa kimajukumu na polisi.Hata hivyo hakuna tatizo kabisa katika eneo la ukamataji wa wahalifu.Unadhani polisi wanaweza kuagizwa kumkamata mtu fulani iwe kwa usahihi au bila usahihi na wakashindwa?Tatizo lipo kwenye utashi wa kisiasa. Mambo haya huingiliwa na ushawishi wa kisiasa kwa sababu ya makundi maslahi.
 
Ni kweli kama unavyodai kuwa kuna haja ya kubadili hicho kipengele kisheria kuifanya TISS kuwa na "meno" kisheria lakini kuna mambo mazito sana kisheria na kimuundo kikatiba ambayo yanatakiwa kama si kuangaliwa upya basi yapanguliwe kabisa.

  • Kuipa meno TISS haina shida na mimi naunga mkono hoja moja kwa moja
  • Tatizo liko kwenye "ni kwa nani TISS inatakiwa iwajibike kwake", hapa ndipo palipo na utata mkubwa sana

Nitachangia baadaye juu ya uwajibikaji wake na utata wake unapoanzia
 
Mkuu kwa hili la ukamataji; mimi nadhani kutakuwa na muingiliano wa kimajukumu na polisi.Hata hivyo hakuna tatizo kabisa katika eneo la ukamataji wa wahalifu.Unadhani polisi wanaweza kuagizwa kumkamata mtu fulani iwe kwa usahihi au bila usahihi na wakashindwa?Tatizo lipo kwenye utashi wa kisiasa. Mambo haya huingiliwa na ushawishi wa kisiasa kwa sababu ya makundi maslahi.

Hakuna shida mkuu mbona hata sungusungu na polisi jamii wanakamata??????
Itakuwa hawa watu wa TISS na mafonzo yote haya jamani tuwaamini na wataweza given the necessary ammendments have been taken aboard!!!!!!

Hivi hata nyumbani mkeo akijua unamchunguza halafu unaenda kumsemea kwa shangazi yake yeye si anawahi huko tu kuwezesha mazingira wakati we unakusanya ushahidi?????????
 
Mkuu; hata mimi hili wazo wakati fulani limekuwa likinijia lakini kuna matatizo kadhaa yatakayojitokeza.

1.Mashirika haya yatakuwa yanaripoti kwa nani? Unaweza ukasema yatakuwa yanafanya kazi complimentary na polisi,TAKUKURU na TISS, lakini tatizo kubwa linaloonekana mpaka sasa si kwamba serikali inakuwa haina taarifa juu ya mambo bali inakuwa haiko tayari kutekeleza.Kwa mfano.Tunaweza tukasema serikali haikuwa na taarifa juu ya ufisadi wa Rada? au serikali haikuwa na taarifa juu ya Utoroswaji wa Twiga? Sasa hayo mashirika yanaweza yakawepo ila tatizo litakuja pale pale yatakuwa yanaripoti kwa nani?.

2. Mashirika hayo yatakuwa yanapata wapi fedha za kujiendesha? Kama ni serikalini; suala litakuwa linarudi kule kule tu na kama ni chanzo kingine kipi?

Nadhani haya Mashirika yangewajibika kwa Bunge hasa katika Kamati ya Usalama ya Bunge.Na pia kuwe na ushirikiano wa karibu kati ya hili Bunge na vyombo vingine vya kisheria kama vile Mahakama.
 
Nadhani haya Mashirika yangewajibika kwa Bunge hasa katika Kamati ya Usalama ya Bunge.Na pia kuwe na ushirikiano wa karibu kati ya hili Bunge na vyombo vingine vya kisheria kama vile Mahakama.
Vipi kuhusu hela za kujiendesha? zitatoka wapi! ujue inawezekana wazo lako ni la msingi sana1! Halafu hata hivyo kama hayo mashirika binafsi yataripoti kwa bunge, sasa ndio tunarudi pale pale kwamba hata hii idara ya serikali inaweza ikawa inaripoti huko huko na mambo yakaenda safi tu.
 
.

  • Tatizo liko kwenye "ni kwa nani TISS inatakiwa iwajibike kwake", hapa ndipo palipo na utata mkubwa sana
Na ndipo panapohitaji fikra pevu zinazoweza kuleta utatuzi .Ni matumaini yangu kwamba great thinkers watasaidia kama nao wakikwama; basi sasaa kutakuwa hamna sababu ya kuendelea kulaumiana kwenye eneo hili; Kimsingi wote kama taifa tutakuwa tumekubaliana na utaratibu hivyo pia kukubaliana na matokeo..
 
Mkuu tutaweza kuwa na TISS imara kama katiba itatamka wazi kuwa TISS si chombo cha kiusalama "CHINI YA KOFIA YA RAIS KAMA MKUU WA MAJESHI" bali ni chombo cha usalama CHINI YA KOFIA YA UKUU WA TAIFA("the president as the head of state") na hapa ndipo upana wa hoja unatakiwa kujikita.
  • Kwamba kama kitakua chini ya kofia RAIS kama mkuu wa taifa basi kitakua na uwezo mkubwa wa kulinda maslahi ya taifa bila kuangalia mtu yeyote provided kwamba mkuu wa taifa hili kikatiba ni mmoja tu na sidhani kama hata VICE PRESIDENT au PRIME MINISTER au yeyote anapata privilege katika hii kofia isipokua RAIS peke yake.
  • Kwamba kama kitakua chini ya KOFIA YA RAIS KAMA AMIRI JESHI MKUU basi muundo wake utafuata protocol zote za kijeshi ambazo zipo na uwajibikaji wake utakua chini ya protocol hizi, mfano kama mkuu wa mkoa wa eneo husika ni mkuu wa kamati ya ulinzi ya mkoa basi viongozi wa TISS wote walio hapo mkoani watakua chini yake, na kwa wilaya vile vile, na kwa mawaziri vile vile etc. hatari ya option hii ipo kwenye kuingiza maslahi ya watawala katika chombo hiki.
  • Kwamba kama kikiwajibika chini ya kamati ya usalama ya bunge basi ni dhahiri kuwa RAIS kama mkuu wa nchi atakua anapokonywa madaraka yake labda kama katiba italiweka wazi hili.

Binafsi suala la TISS na uwajibikaji wake kwa nani naliona kama mgogoro wa kikatiba ambalo linabidi lijadiliwe kwa kina sana, kwani TISS inabidi iwe chini ya "KOFIA YA RAIS KAMA MKUU WA TAIFA" na katiba itamke wazi kuwa ni nani walio wasaidizi wa RAIS kama "MKUU WA TAIFA" na ni hao ambao wanaweza kuhoji utendaji wake na si vinginevyo.
 
mmh hapa pagumu.Nadhani hata ikiwa hiyo ya kuiweka chini ya Rais kama mkuu wa nchi, ishu itakuwa pale pate tu. Ikumbukwe kuwa rais mara nyingi anakuwa pia ni kiongozi mwandamizi wa chama chake.Sasa ni kivipi kutakuwa na uhakika kwamba hawezi kutumia chombo hiki kisiasa na hasa kuwahujumu wapinzani? Ikumbukwe kuwa mara ngini binadamu wana tabia ya kutaka kutumia nafasi zao kujinufaisha au kunufasha makundi yao kwa kuyalinda n.k. Na ndio maana ili kuliepuka hili; tunatakiwa tuunde taasisi imara ki muundo na kimajukumu. Kuhusu hilo suala la kwamba Idara ikiwajibika kwa kamati ya ulinzi ya bunge; Rais atakuwa kapunguziwa madaraka; Ishu hapa si rais kupunguziwa au kuongezewa madaraka; Ishu ni kivipi tunaweza kuhakikisha kwamba vyombo vya usalama vinaweza kufanya tukawa salama kweli. Kwani kwa sasa kamati ya ulinzi na usalama ya bunge iko kwa ajili ya nini? na je uwepo wake unaathiri mamlaka na utendaji wa Rais?
 
Sidhani kama kamati ya ulinzi na usalama ya BUNGE ina meno kiviile. Nafikiri kuwa kuna mambo ambayo huwa haiwezi hata kuyahoji na la TISS nadhani ni miongoni mwayo.

Hoja nzito hapa ni hii:
Rais apokonywe cheo cha mkuu wa nchi na apewe mtu mwingine au chombo kingine na hicho ndicho kiatakachokua na mamlaka ya kuiwajibisha TISS
 
Mhh! hebu ngoja tusubiri mawazo ya wengine.
 
Mfano:
The Central Intelligence Agency (CIA) is an independent US government agency responsible for providing national security intelligence to senior US policymakers.

\halafu wana FBI
Spies. Terrorists. Hackers. Pedophiles. Mobsters. Gang leaders and serial killers. We investigate them all, and many more besides.
The very heart of FBI operations lies in our investigations—which serve, as our mission states, “to protect and defend the United States against terrorist and foreign intelligence threats and to enforce the criminal laws of the United States.” We currently have jurisdiction over violations of more than 200 categories of federal law, and you can find the major ones below, grouped within our three national security priorities and our five criminal priorities. Also visit our Intelligence program site, which underpins and informs all our investigative programs.

[TABLE="width: 933"]
[TR]
[TD][COLOR=#002675 !important]1. Terrorism[/COLOR]
- International Terrorism
- Domestic Terrorism
- Weapons of Mass Destruction

[COLOR=#002675 !important]2. Counterintelligence[/COLOR]
- Counterespionage
- Counterproliferation
- Economic Espionage

[COLOR=#002675 !important]3. Cyber Crime[/COLOR]
- Computer Intrusions
- Internet Fraud
- Identity Theft

[/TD]
[TD][COLOR=#002675 !important]4. Public Corruption[/COLOR]
- Government Fraud
- Election Fraud
- Foreign Corrupt Practices

[COLOR=#002675 !important]5. Civil Rights[/COLOR]
- Hate Crime
- Human Trafficking
- Color of Law
- Freedom of Access to Clinics

[COLOR=#002675 !important]6. Organized Crime[/COLOR]
- Italian Mafia/LCN
- Eurasian
- Balkan
- Middle Eastern
- Asian
- African
- Sports Bribery

[/TD]
[TD="colspan: 2"][COLOR=#002675 !important]7. White-Collar Crime[/COLOR]
- Antitrust
- Bankruptcy Fraud
- Corporate Fraud
-
Financial Institution Fraud & Failures
- Health Care Fraud
- Insurance Fraud
- Mass Marketing Fraud
- Money Laundering
- Mortgage Fraud
- Piracy/Intellectual Property Theft
-
Securities and Commodities Fraud
- More White-Collar Frauds

[COLOR=#002675 !important]8. Violent Crime and Major Thefts
[/COLOR]

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]- Art Theft
- Bank Robbery
- Cargo Theft
- Gangs
- Indian Country Crime
- Jewelry and Gem Theft
[/TD]
[TD]- Online Predators
- Retail Theft
- Vehicle Theft
- Violent Crimes Against Children
- More

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
FBI

Mission​
The FBI’s national security mission is to lead and coordinate intelligence efforts that drive actions to protect the United States.
Our goal is to develop a comprehensive understanding of the threats and penetrate national and transnational networks that have a desire and capability to harm us. Such networks include: terrorist organizations, foreign intelligence services, those that seek to proliferate weapons of mass destruction, and criminal enterprises.
In order to be successful, we must understand the threat, continue to integrate our intelligence and law enforcement capabilities in every FBI operational program, and continue to expand our contribution to the Intelligence Community knowledge base.
Because national security and criminal threats are often intertwined, our ability to integrate intelligence and investigations makes us uniquely situated to address our nation’s threats and vulnerabilities.

Intelligence Philosophy​
The mission of the FBI is to protect and defend the United States against terrorist and foreign intelligence threats, to uphold and enforce the criminal laws of the United States, and to provide leadership and criminal justice services to federal, state, municipal, and international agencies and partners.
To perform its mission, the FBI employs a number of core tools, including investigative techniques, forensics, information technologies, and strategic partnerships. Intelligence is also one of those core tools. As such, intelligence is an integral part of the FBI’s investigative mission. It is embedded in the day-to-day work of the FBI, from the initiation of preliminary investigations to the development of FBI-wide investigative strategies.
The tool of intelligence is more important than ever in today’s threat environment. The threats facing the United States are evolving. Threats are global, and often emanate from transnational enterprises that rely on sophisticated information technology. They transcend geographic boundaries, as well as the boundaries of authorities in the U.S. national security infrastructure. In this threat environment, having the right information at the right time is essential to protecting national security.
The FBI has a mandate from Congress, the President, the Attorney General, and the Director of National Intelligence (DNI) to protect national security by producing intelligence in support of its own investigative mission, national intelligence priorities, and the needs of other customers. The FBI must serve the American people with an enterprise-wide intelligence program that makes its investigations most effective for national security, homeland security, and law enforcement purposes, while meeting external needs for FBI information and analysis.
 
Intelligence Workforce​
The DI's most important component is its people. The FBI created an Intelligence Workforce to elevate the importance of intelligence within the organization and to provide its intelligence professionals with defined career paths and increased promotion opportunities. The Intelligence Workforce consists of intelligence analysts, language analysts, physical surveillance specialists, and special agents.
Intelligence Analysts (IAs)
IAs are professionals who create intelligence by converting raw data into actionable information. IAs develop specific expertise, discern patterns of complex behavior, and offer an accurate understanding of present and future threats. Analysts create timely actionable products (reports, briefings, etc.) that help investigators, managers, executives, and policy makers. IAs work in every FBI Headquarters division and in all 56 field offices. You can find out more about the diverse backgrounds and daily work lives of IAs, by reading some of our IA profiles.
Language Analysts (LAs)
LAs provide quality translation, interpretation, and language analysis services to the FBI and the intelligence community. FBI linguists are certified in approximately 75 languages, running the gamut from Amharic (an Ethiopian language) to Yoruba (a Nigerian language). More than 95 percent of the FBI's linguists are native speakers of these foreign languages. Their native-level fluencies and long-term immersion within a foreign culture ensure not only a firm grasp of colloquial and idiomatic speech, but also of heavily nuanced language containing religious, cultural, and historical references. For more information about the diverse backgrounds and daily work lives of LAs, read some of our LA profiles.
Surveillance Specialists
The FBI's Surveillance Specialists are responsible for performing investigative support directly related to the Bureau's foreign counterintelligence and international terrorism functions. The surveillance positions collect, analyze, and disseminate intelligence data gathered during the course of sophisticated physical surveillance operations. The work of these positions directly and significantly affects the investigative work of the FBI and other federal government, state, and local agencies in the intelligence community.
Special Agents
The Intelligence Workforce includes a select number of special agents. Special agents carry out the responsibilities of the FBI by enforcing more than 260 federal statutes, such as those pertaining to organized crime, white-collar crime, financial crime, civil rights violations, bank robbery, kidnapping, terrorism, foreign counterintelligence, fugitive, and drug trafficking matters. Special agents also work with other federal, state, and local law enforcement agencies on investigative matters of joint interest.
To learn more about career opportunities in the FBI, visit www.fbijobs.gov.
 
Back
Top Bottom