Inauzwa Surveyor Equipment-Auto Lever Machine.

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,203
85,311
Machine ipo Dodoma mjini.
Sababu ya kuuza ni ilikua ya shirika na mradi umekwisha.
Haikuwahi kutumika kabisa/ni mpya.
Machine ipo full set.
Inauzwa kwa lakini tano na hamsini elfu (550,000).
Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa sim/whatsap 0758383624.
IMG-20190410-WA0008.jpeg
IMG-20190410-WA0009.jpeg
IMG-20190410-WA0014.jpeg
IMG-20190410-WA0013.jpeg
IMG-20190410-WA0012.jpeg
IMG-20190410-WA0011.jpeg
IMG-20190410-WA0010.jpeg
 
Miguu imefungwa na mpira unasema ni mpya
Kwani nyie mna kiwanda cha haya makitu? Acha kujifelisha! Kama una mkwanja pungufu hii siyo njia sahihi ya kuomba punguzo!

Na declare int.
Sifahamiani na Muuzaji .
 
Kwani nyie mna kiwanda cha haya makitu? Acha kujifelisha! Kama una mkwanja pungufu hii siyo njia sahihi ya kuomba punguzo!

Na declare int.
Sifahamiani na Muuzaji .
Kama natoa hela yangu nitahakikisha napata best value of my money na hiyo ndio njia sahihi ya kutumia pesa.
 
Kama natoa hela yangu nitahakikisha napata best value of my money na hiyo ndio njia sahihi ya kutumia pesa.
Uko sahihi!
Na ukweli huo ni universal.
Thamani ya hicho kifaa haipunguzwi na kamba za kufungia (kwa wajuzi wa kifaa husika)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom