kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 207
- Thread starter
- #21
Nmekausha tayari mkuupole mwamba ila kausha tu
Nmekausha tayari mkuupole mwamba ila kausha tu
Kweli et baharia mkuuAone aibu wakati ndo alikuwa anataka sasa kaipata?
aibu uone wewe kwa kushindwa kumpa hadi apewe na mwingine
hao ndo wanawake
Ndio darVp Baharia , unaishi Dar?
Mule mule mkuuMimi nimesha azimia kuto oa. Natafuta binti nipige mimba hata Mungu akinichukua niwe at least nimeacha alama. Nishawaseti mabinti kama watatu hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu,,,,
tehteh pale alipokuja home
![]()
Ndio maana! since Mabaharia hatulalamiki kihivo since wanawake wapo hivo!Ndio dar
Powa mkuuNdio maana! since Mabaharia hatulalamiki kihivo since wanawake wapo hivo!