kelvinlewis
JF-Expert Member
- Jan 8, 2018
- 308
- 207
Kitendo cha mimi kutoka na kwenda south africa na kukaa takriban miez nane na kurud nakuta nimpendaue tayar anayo mimba
Daa aya bana maisha yanaendelea afu bila aibu alipo ckia nimerud akaja mpaka hme bila kuhofia chochote na tumbo lake duu wanawake wengne mpo vzur asee
Ndo basi tena mm na yeye
Daa aya bana maisha yanaendelea afu bila aibu alipo ckia nimerud akaja mpaka hme bila kuhofia chochote na tumbo lake duu wanawake wengne mpo vzur asee
Ndo basi tena mm na yeye