Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

Sijaelewa mkuu
Ukihisi kumpa hela mwanamke ndo atakupenda mpe kidogo,ukihisi kumchekea chekea mwanamke ndo atakupenda cheka kdg,ukihisi kumpigia simu kila mda ndo atakupenda piga simu mara chache...yaani hiyo mdo formula simple ya kufanya mwanamke akupende...stupid trick but inafanya kazi..
 
Asante sana mkuu
 
Mtumie hii meseji
I wish I were a part of your future, but I can't make you change your mind. I think it will be best if we don't talk to each other for a while, so before that happens, I just want to tell you one last time that I do love you and I want only the best things for your life.
 
Asante Mkuu nyingine hauna Mkuu !!? Nashukur ntamtumia iko poa
 
Mimi huwa nawashangaa sana wanaumr wa aina hii mwingine ndo huyo nimesikia kajinyonga mby,huyu ni mtu tu mmekutana barabarani mkaanza kupendana ndo akutoe roho kiasi hicho?kupenda kupenda nini bwana mngempenda Mungu kiasi hicho dunia ingekuwa mahali pazuri pa kuishi,bora kakuacha now huna comitment nae kubwa ungekuwa ushaweka ndani je?au ukalea mtoto asiye wako?halafu nyie watoto mnasumbua sana watu humu na mapenzi yenu ya lamuja del mi vida muwe wanaumeee akikuacha mwambie hewala jipe muda tafuta wa kwako huyo hakua wa kwako,acha utoto mwanaume habembelezwi kama mtoto wa kike unapewa makavu live so that you can movr on.
 
Asante Mkuu ubarikiwe sana !!
 
HII NDIO DEFINITION YA NDEGE MJANJA
nisamehe tu maana namna nikujuavyo wewe
kisha nakujakugundua kuwa umezongwa na haya makando kando ..aiseee NASHINDWA JIZUIA KUCHEKA ..
WACHANICHEKE MKUU KWANI SH.NGAPI
HAHAAAAAAA dadeqq hahaaaaa

kichekana IMO sometyms namimi ykinikuta nitkuja kukwambia iliulipize

daaaahh mwenzio mimi nimeupumzisha moyo wangu kwa muda mrefu sasa masuala yakuufnya uwe unatuna kma pulizo sitaki aisee
hapa ni mwendo wa ukinipigia nitakupigia pia . ukichuna na uchuna pia
ukinitafuta nitakutafuta pia

ukionyesha upendo nitkuonyesha upendo pia
hivyo yaani tusisunbueane ..?? binti akinipotezea na mimi nampotezea Siku akiamua kunitafuta wala simuonyeshi tofauti yoyote najilia zangu mzigo tukitoka hpo kila mtu na hamsini zake

pole mnoo mkuu ..
 
Daah huu uzi ndo nauona...kumbe jana ulikua una stress kweli.pole san rafik angu yatapitaa .
 
Hahahah Mkuu daah ndo hvyo ila wadau wamenshaur nmewaelewa wanasema usifiche maradhi ila nmepitia magum mnoo asante kwa aliyegundua jf imensaidia mnoo kupoteza stress hahaha Mkuu nazisaka pesa sa hivi mpk acc yangu isome like a a phone number !!
 
Hahahahah! Wee jamaa umenichekesha saana kwa jibu laako! Duh pooole saana because it seems your over streesed.
Ustaarab kitu cha muhim sana ukimkimbiza kichaa aliyekuibia nguo huku upo uchi it is you who will be seen insane
 
Daah huu uzi ndo nauona...kumbe jana ulikua una stress kweli.pole san rafik angu yatapitaa .
Nilikua na stress hafu jukwaa La usiku wa manane mkachukulia poa Leo nakuja kutafuta .....
{ sijaachaga matan }
 
Hiyo siku ntacheka hahahahahahhahaahahajaj daah omba yasikukute ila ntaficha kamba zote usije ukajiwahisha akhera!!
 
Hahahah Mkuu daah ndo hvyo ila wadau wamenshaur nmewaelewa wanasema usifiche maradhi ila nmepitia magum mnoo asante kwa aliyegundua jf imensaidia mnoo kupoteza stress hahaha Mkuu nazisaka pesa sa hivi mpk acc yangu isome like a a phone number !!
hahaa naona umekuwa mc Gregory
pmabna mkuu Hawa viumbe uchawi wao mkubwa ni Pesa tu
tena kama waishi dar ndio kabisaa huku hali ya hewa ya mahusiano imechafuka mithili ya pepo za kusi..
kama ukiwa na hela hata kama hauna uwezo wakuzalisha mkeo atakuwa anahaha kutafuta bwana wakumpachika mimba ili tu akusingizie mtoto usipate wazo lakumtimua na hata utakpo mtimua asiondoke bure ...mtoto atakuwa anampa matumaini yakuondoka na mali siatarithi kwako...

tutafute Pesa tu ..hvyo vingine niziada nawakati unapojiri huja vyenyew auto...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…