Anna pita
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 227
- 430
inauma sana upo ndani ya ndoa mme wa anawahi kumaliza namaanisha anatumia sekunde kumaliza kuunganisha hawezi, akirudia anamaliza ndani ya sekunde 2, anakuacha ukiwa bado na ny**********ge za kutosha mnajaribu kuwaona wataalam tatizo haliwezi kutibika, inafikia hatua najisugua kisimi mwenyewe kwa kidole ili tu nimalize ili nikae kwa amani nahisi najiumiza kwani natumia nguvu nyingi sana. cha ajabu mume anawivu hataki hata uzoeane na majirani maisha gani haya jaman nivunje mji au nifanyeje?