Pole mku..
ila ndo maisha hayo..
Ina uma sana pale tunapo poteza ndugu jamaa na marafiki (Kifo)
Inauma sana pale ajali za ajabu zinapotokea na watu kuumizwa vibaya.
Inauma sana kuona wengi wanateseka na magojwa ya ajabu.
Inauma sana kuona binadamu wanakufa njaa.
Inauma sana pale unapopenda lakini hupendwi.
Inauma sana mpenzio anapotoroka na mtu mwingi.
Inama sana pale unaemwamini anaenda ku cheat.
Inauma sana , tena sana, na sana zaidi..
Ninachotaka kusema kuna vitu vingi vinaumiza maishani ..
you just have to pull yourself up & move forward.
Mtakie jema mwenzio na baraka zako ziko njiani ..