Nimesikia watu wanachangiwa halafu hawaoi, tena kuna ambao washafahamikaUshawahi kusikia bwana harusi mtarajiwa kala hela za mchango wa harusi halafu akasepa? Hii imemtokea mwafulani pale juzi kati.
Napendekeza kuwe na mkataba maalum sasa katika mapenzi ambao utatambuliwa
kama inavyotambuliwa mikataba ya wapangaji, mashamba n.k Ndani ya huu
mkataba kuwe na mambo maalum ambayo wapenzi watakubaliana ili kama kutatokea
tatizo muhusika achukuliwe hatua za kisheria.
Haiwezekani watu wanawapa ujauzito wenzao halafu bila huruma wanawatelekeza
na hakuna hatua yoyote wanayochukuliwa.
Hivi wenzetu katika nchi zilizoendelea inakuwaje? au ni kama huku kwetu?
Basi kuwe na sheria ya kuwabana wanaowapotezea wenzao muda, maana mtumikataba kila siku huvunjwa na hakuna sheria ya kumlazimisha mtu kuishi na mtu asiyempenda..................mtoto hawezi kuwa ni sababu ya kubanwa mbavu na mtu ambaye humhitaji...........................
Tatizo kuna mijitu inapretend kuwa ina wivu sana hatando maana hata dada zangu nawaambia mambo ya kuoana anakuachisha kazi/biashara wasithubutu. Na ninachoshukuru hakuna aloacha. Duniani hapa jiamini mwenyewe tu, binadamu kigeugeu
haya hayatekelezeki..............................ukweli unabakia kuwa ni ukweli...........................sex outside marriage is at own risk.............................kama huna subira basi ujue hujaivuta kheri......................mikataba kila siku huvunjwa na hakuna sheria ya kumlazimisha mtu kuishi na mtu asiyempenda..................mtoto hawezi kuwa ni sababu ya kubanwa mbavu na mtu ambaye humhitaji...........................