KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
Penda unapopendwa..... Haya maisha ni mafupi sana kuhangaika na changamoto za maisha kwa ujumla then uchanganye na stess za kupenda usipopendwa..... Jipange.... Fanya kazi kwa bidii, kuwa focused na maisha.... Utampata atakayekupenda nawe unayempenda kwa wakati sahihi.... Move on.
Msweet embu mwambie ulichotaka kumwambia..., ulichomwambia hapa kinaweza kuwa kizuri ila nahisi siyo alichokisubiri, maana umri kajibu haraka ila baada ya haya majibu kapotea.