Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

Mwanamke akitaka kumwacha mwanaume inakua simple sana. Yaani ndani ya week tuu kushney ila sasa ngoja mwanaume atake kumwacha mwanamke inachukua karne na karne. Unaweza ukawa na nia ya kumwacha mwanamke lakini ukashindwa
mwanamke hajaumbwa kupenda ni tofauti na mwanaume... na ndo maana mara nyingi wanakua na mioyo ya ajabu...
 
Back
Top Bottom