Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

Nimesoma hii thread nikapata mixed feelings (hasira, chuki, furaha hata sielewi) nikakumbuka like 7 years back i was going thru the same shit until i met a special someone that turned my life around.

Tha woman who used to dismiss me a lot...alikuja ku fail maisha balaa....sidhani kama inapita a day hanifikirii akiniona na kuwaza nilipo now nahisi anatamani kujinyonga. Anyway its a long as.s story.

Ila ushauri kwa my fellow mates. " Hata mtu uwe mzuri/handsome vipi....jua hata sokwe na nyani wote vivutio vya utalii "

Never look down on people unless ur admiring their shoes. Just because someone doesnt have access to somethings u consider ur main priority at that particular time doesn't mean there are never gana amount to anything. #BeHumble.
Halafu Siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tundu Bovu.
Na huwa baadaye MTU anajutia yeye.
 
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu.

Lakini ukitizama Watsapp unaona yuko online busy akichati na kubadili DP na
status.Unabaki ukijiuliza ana chat na nani mpaka asizione meseji zako na kuzijibu?Unabaki ukiendelea kujiuliza umemkosea nini?

Unaanza kujiambia kuwa labda amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu
umpendae kwa moyo wote.Je unajua kuna uwezekano nae anapitia kipindi kigumu kama hicho? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu mwingine ambae anampenda haswa.

Unavyohangaika kumpigia, kumtumia meseji na asizijibu nae aweza kuwa
anafanyiwa hivyo na ampendae.Anamtumia meseji, anamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!

Kufikia hatua hii, unafikiri kukata tamaa juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi.Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" fb lakini bado unaona moyo wako bado unampenda.

Na unamatumaini ipo siku atarudi.Kila muda unapotaka kuichukua simu yako unaomba Mungu ukute meseji yake lakini ukishika tu simu unakuta meseji ya TIGO wakikukumbusha kulipa deni ulilokopa kwa ajili ya muda wa maongezi.

Unajikuta unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha,
unatamani uipasue simu vipande vipande!Lakini kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi labisa. Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?

Usimlazimishe akupende, wewe sio mzee kiasi kwamba huwezi kupata mtu
mwingine. Usijipe stress kwa asiyekupenda kuwa na ujasiri wa kumuacha aende na wewe enenda na maisha yako.

Hata iwe vipi maisha lazima yaendelee.
Sina cha kuongezea...ila Umenigusa sana...but cha msingi NI kumuacha aende tuuuu
 
Mpende akupendae mwenye maringo mwache ndege mjanja akanase kwenye tundu bovu, usiforce mapenzi utaambulia majuto

Penda unapopendwa..... Haya maisha ni mafupi sana kuhangaika na changamoto za maisha kwa ujumla then uchanganye na stess za kupenda usipopendwa..... Jipange.... Fanya kazi kwa bidii, kuwa focused na maisha.... Utampata atakayekupenda nawe unayempenda kwa wakati sahihi.... Move on.
Mapenzi kweli upuuzi, sasa kama ni hivyo wakuu yeye (mlalamikiwaji) mbona hapendi anapopendwa? Why wewe (mlalamikaji) ukajilazimishe kupenda sehemu nyingine kisa unapendwa? Mi nadhani jambo la msingi ni wewe kupenda kwanza pasipo kutarajia love in return, then mtongoze akiingia king sasa una kazi moja ya wewe kumfanya na yeye akupende....ukishindwa muache aende zake. BTW naunga mkono hoja ya kutolazimisha penzi....ila sio kupenda usipopenda kisa umependwa!!!
 
pole sana mapenzi ndivo yalivo kuumia kupo ujifunze tuu, kitu kua ukiona mpo kwenye mahusiano wew ndo umependa sana ujue na possibility ya kuumia kubwa so bora ujitoe mapema tafuta mtu anaekupenda coz upendo unatengenezwa utajikuta unampenda tuu uko mbeleni
 
Ukitendwa mara moja,unapata akili na experience ya mapenzi and it realy helpful,cause mapenzi hayawezi kukusumbua tena maishani mwako,its better kutendwa na kupata experience hii kabla ya marriage.anyway cha msingi ni kumpotezea asiekupeoa,kwanini ujisumbue na asiekupenda wakati kuna wengne wapo wanasubiri kumpata atakaempenda na yeye ampende?
 
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu.

Lakini ukitizama Watsapp unaona yuko online busy akichati na kubadili DP na
status.Unabaki ukijiuliza ana chat na nani mpaka asizione meseji zako na kuzijibu?Unabaki ukiendelea kujiuliza umemkosea nini?

Unaanza kujiambia kuwa labda amekuchoka. Inauma sana kupuuzwa na mtu
umpendae kwa moyo wote.Je unajua kuna uwezekano nae anapitia kipindi kigumu kama hicho? Sawa anaweza akakwambia anakupenda au amekumiss, lakini anae mtu mwingine ambae anampenda haswa.

Unavyohangaika kumpigia, kumtumia meseji na asizijibu nae aweza kuwa
anafanyiwa hivyo na ampendae.Anamtumia meseji, anamcall lakini nae simu zake hazipokelewi kama wewe. Nao wanapitia magumu kama wewe!

Kufikia hatua hii, unafikiri kukata tamaa juu ya huyo mtu lakini inakuwa sio rahisi.Unafikiri kumuacha huyo mtu, kumblock hata kum "unfriend" fb lakini bado unaona moyo wako bado unampenda.

Na unamatumaini ipo siku atarudi.Kila muda unapotaka kuichukua simu yako unaomba Mungu ukute meseji yake lakini ukishika tu simu unakuta meseji ya TIGO wakikukumbusha kulipa deni ulilokopa kwa ajili ya muda wa maongezi.

Unajikuta unaichukia simu yako na unamchukia kila mtu anaye kuongelesha,
unatamani uipasue simu vipande vipande!Lakini kwanini ifikie hatua hiyo? Kwa hali kama hiyo inaonesha kabisa wewe hupendwi labisa. Kwanini upoteze muda wako kumpenda mtu asiyekupenda?

Usimlazimishe akupende, wewe sio mzee kiasi kwamba huwezi kupata mtu
mwingine. Usijipe stress kwa asiyekupenda kuwa na ujasiri wa kumuacha aende na wewe enenda na maisha yako.

Hata iwe vipi maisha lazima yaendelee.

Safiiiii
 
Penda unapopendwa..... Haya maisha ni mafupi sana kuhangaika na changamoto za maisha kwa ujumla then uchanganye na stess za kupenda usipopendwa..... Jipange.... Fanya kazi kwa bidii, kuwa focused na maisha.... Utampata atakayekupenda nawe unayempenda kwa wakati sahihi.... Move on.
Dah hii inanihusu 100%. Why me?????????????
 
Ili ufurahie mapenzi inakubi ww upende ila usijiweke dhana ya kupendwa kama unavyopenda.
Love is individual
 
mambo hayo nimeteseka nayo sana,nilipenda mtu mpaka ikafikia hatua ninapoongea nae maneno yanakata ni kama nakuwa nanena kwa lugha.lakin mwishowe nikaishia kutoswa tu.aiseee
 
alieandika uz na kedrick kama wameniona vile na mm naongezea baada ya hapo kila msanii wa bongo fleva anaetunga nyimbo unahisi kakutungia ww eg baraka da prnce
 
Yan uhiii. Sirudii makosa; usipo jibu sms nitafanya effort ili uwe sawa. Ili mwisho wa siku niepuke lawama. Bt kuumia moyo labda kwa siku. Ukiona sijakutxt kwa siku moja na si kawaida yangu aiii ndio nimesha let it go for gud. Ww hunitak mwngine anayedeserve atakuja. Sitak vidonda vya tumbo wala kuumwa kichwa. Kuna ving vya kufanya y ung'ang'anie sehemu usiyo takiwa. Tupa kuleee; kuna ving vya kufurahia if huna nenda kamshukuru Mungu kwa uhai aliokupatia kanisan au msikitini. Knw ua value( my mom used to tel me this) u knw ua beatful not only ua face also ua heart; u deserve best my dear daughter) siwez sahau haya maneno.
Thanks sis, mama kakwambia maneno mazuri sana
 
Ndo maisha..kila mtu imemtokea,hata wewe kuna watu wanakupenda huwapendi kiivyo...
 
Back
Top Bottom