Bingwa wa hoja
Member
- Oct 21, 2010
- 23
- 0
Wapo wapi mashujaa na viongozi waliosoma Ilboru special school pale Arusha? inauma sana shule hii inavyozidi kuporomoka kitaaluma just imagine mpaka leo wanafunzi wa ilboru hawajaanza kujifunza computer...........naililia ilboru
Vipaji my ass uvipaji gani walio nao Ilboru huu ujinga ndio mnajazana mpaka mnaona kusoma UDSM ndio usomi uliotukukaWapo wapi mashujaa na viongozi waliosoma Ilboru special school pale Arusha? inauma sana shule hii inavyozidi kuporomoka kitaaluma just imagine mpaka leo wanafunzi wa ilboru hawajaanza kujifunza computer...........naililia ilboru
kamuulize Mzee Bino..... na Mzulu
Vipaji my ass uvipaji gani walio nao Ilboru huu ujinga ndio mnajazana mpaka mnaona kusoma UDSM ndio usomi uliotukuka
kweli wewe jina lako -k- mie nikisikia -k- tu basi naelewa wewe ni -k-, maana umendika pumba kabisaVipaji my ass uvipaji gani walio nao Ilboru huu ujinga ndio mnajazana mpaka mnaona kusoma UDSM ndio usomi uliotukuka
kweli wewe jina lako -k- mie nikisikia -k- tu basi naelewa wewe ni -k-, maana umendika pumba kabisa
ati vipaji my ass, maybe you ass ina vipaji vingi unataka kushea but remember nurturing talents and great/bright student ni jambo muhimu kwa nchi zote duniani
Inaonekana hata umuhimu wa elimu huujui zaidi ya kupelekwa shule tu na wazazi
@Bingwa wa hoja, wewe na mimi kama wana ilboru alumni, tufanye nini kuboresha?
kweli wewe jina lako -k- mie nikisikia -k- tu basi naelewa wewe ni -k-, maana umendika pumba kabisa
ati vipaji my ass, maybe your ass ina vipaji vingi unataka kushea but we dont need those ass talents remember nurturing talents and great/bright student ni jambo muhimu kwa nchi zote duniani
Inaonekana hata umuhimu wa elimu huujui zaidi ya kupelekwa shule tu na wazazi
@Bingwa wa hoja, wewe na mimi kama wana ilboru alumni, tufanye nini kuboresha?