Lazarus
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 364
- 94
- Thread starter
- #21
Wengi wanasema wako single wakiwa na maana kuwa hawana mtu permanent; ila kama ni mechi wanacheza kama kawaida.
Wewe naona unaongelea u single wa kweli kweli....sijuhi kama wamo humu ambao ni single SINGLE.
Ndio maana kuna kijana wa kipindi cha Salama alinifurahisha sana alipokuwa ana wa challenge wasaniii wenye majibu 'niko single' kwani ali equate na wana wapenzi wengi ndio maana hawawezi declare uhusiano wao publicly kwani hawajuhi wamtaje nani na kama huyo nani atafurahi kutajwa au atamkana through magazeti ya udaku.
Upo vizuri... Nyumba kubwa Upo vizuri..